Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Mkuu kunasiku niliuliza hapa, ni huu huu mziki ndiyo umenunua nyumba bondeni? Nilisimangwa kuwa nina roho ya korosho.thubutu kunengua nengua na kuimba sijui nataka kulewa sijui nini sijui ndo uwe nj nyumba south,prof jay na sugu wangekuwa na nyumba new york,hachomoki wema akilambwa kofi moja tu anasema kila kitu
 
Back
Top Bottom