Diamond kununua hummer ya Gwajima

Mi naomba tu iwe tetesi maana watatutesaje akina mama ubaya? Uwiii ntaficha uso wangu wapi mie warumi hater namba moja wa ndomo na mama ubaya, mungu aniepushie mbal na hii aibu iendelee kuwa tetes tu

Haahaha binamu usijali, ntakusaidia kujificha vizuri ili wasikuone. Au ntakuhamishia kimbiji kwa muda ili upepo wa hummer usikupitie hahahaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Biblia INASEMA ole wao wanaokashifu watumishi wa bwana..,wabongo ni mahaters Sana
 
dangote ana hela nyingi sana...wiki iliyopita kuna nyumba kanunua masaki milioni 650 ila itatangazwa very soon wakati akitambulisha hiyo hummer ambayo kainunua kwa milion 185
 
Hummer model hiyo hazina bei kubwa pia hilo la gwajima halina kodi bei ikizidi sana 40m

Kama kweli amenunua kwa pastor basi hana mamlakayakulitumia mpaka akalipe kodi else awe Amemkodisha

TRA ANOTHER DEAL BARABARANI
 
Hummer model hiyo hazina bei kubwa pia hilo la gwajima halina kodi bei ikizidi sana 40m

Ha ha huyajui magari jomba,taja model husika. Hummer toleo la kwanza 1992-2002 ni H1,,Hiyo gari kiwanda kilitoa offer ya kuzirudisha kiwandani 2006 mpaka leo. Na ukiirudisha hata ikiwa chuma chakavu unapewa parcent yako. Toleo lililofuata ni Hummer H2 (2002 kuendelea) ndio wabongo wanazo wanazo,, H3 hii hizi ndio wenda unaziona kwenye luninga. Maana mastaa wa marekani wanauza nazo sura sana.
Kwa sasa wametoa Hummer HX ndio hiyo anayo CR7.
Unaposikia hummer,,hummer na bei yake basi tambua unazungumzia Garichuma na ndio sifa yake kubwa. Waambie na wenzio
 
Ale bata tuu diamond ni wakati wake sasa. Afanye yote wakati huu kwani hakutakuwa mwingine. Afanye kila kitu,aguse na anuse kila kitu ndio wakati huu. MJ hakuna kitu hajawahi fanya kuufurahisha moyo wake enzi zake.
 
Mkuu hummer y gwajima h2 bei yake hata 80m kuna mtu alileta lastyr kwa 75m tena hpo wajanja wameshachukua chao
 
Mkuu hummer y gwajima h2 bei yake hata 80m kuna mtu alileta lastyr kwa 75m tena hpo wajanja wameshachukua chao

Ni model ya zamani ndio ila itategemea na condition yake,pesa ulioitaja ni ndogo mno jomba. Hata akiuza spea hawezi ambulia hiyo pesa.
 
dangote ana hela nyingi sana...wiki iliyopita kuna nyumba kanunua masaki milioni 650 ila itatangazwa very soon wakati akitambulisha hiyo hummer ambayo kainunua kwa milion 185

kweli wewe ni matope😰

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo huyu Diamond hashauriki..Nahisi malengo yake ni kushindana na Ali k...nk

Labda iwe tetesi kama ni kweli nitamuona wa ajabu sana..

kuna vitu katika maisha inabidi Kuvipa priority. sa ye show off kibao

sijui ka ana mradi gani wowote tofaut na kazi yake ya kuimba.
 
Reactions: prs
kuna vitu katika maisha inabidi Kuvipa priority. sa ye show off kibao

sijui ka ana mradi gani wowote tofaut na kazi yake ya kuimba.

Unaambiwa Akili ni nywele,,,muziki wenyewe una msimu sasa usipoangalia fursa nyingine ndio pale msemo wa"NINGE" unapokuja!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu madtar wananunua Hummer mpaka leo enzi za RR Evoque na Porsche Macan?
 
dangote ana hela nyingi sana...wiki iliyopita kuna nyumba kanunua masaki milioni 650 ila itatangazwa very soon wakati akitambulisha hiyo hummer ambayo kainunua kwa milion 185

Ni kweli hata huku kariakoo kanunua kiwanja kwa mil 900,oysterbay kanunua nyumba kwa 1.2b,kwa sasa yupo kwenye negotiation na kampuni ya kutengeza ndege wiki ijayo itasikika maana dangote kafika 5b wakati wenyewe wanataka 5.5b wiki ijayo ndio atatangaza vitu alivyonunua wiki hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…