Mmh jiran mimi mwenyew nimeshtuka apa, gwajima na ndomo wapi na wapi jaman? Kuna kitu nyuma ya pazia we ngoja tu soon tutayajua yaliyojificha
Kabisa jirani, si unajua biashara ile ina mtandao mpana. Kanisani mpaka msikitini, Polisi na jeshini mpaka mahakamani, Bongo fleva mpaka bongo movies, Hospitalini mpaka kwa waganga na wachawi, Mkubwa wao serikali. Mweh!
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.
Unaambiwa Akili ni nywele,,,muziki wenyewe una msimu sasa usipoangalia fursa nyingine ndio pale msemo wa"NINGE" unapokuja!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mi naomba tu iwe tetesi maana watatutesaje akina mama ubaya? Uwiii ntaficha uso wangu wapi mie warumi hater namba moja wa ndomo na mama ubaya, mungu aniepushie mbal na hii aibu iendelee kuwa tetes tu
Achana na mimi wewe usinizoee kingese hayawani wewe
Ha..ha.ha.. hii kaliMkuu hapo utakuta Gwanjima anakula Wema! Tusubiri tu.
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.
Mkuu mtumishi unaye muongelea hapa ni nani?
dangote ana hela nyingi sana...wiki iliyopita kuna nyumba kanunua masaki milioni 650 ila itatangazwa very soon wakati akitambulisha hiyo hummer ambayo kainunua kwa milion 185
Masaki nyumba milioni 650 duuuh!!!
ni ndogo?
Nakukubar sana maatope un habar xclusive....