omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Yah Mimi ni hater tena sanaHaters
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.
kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.
kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.[/QUOTEmanji anayo private jet toka mwaka majuzi lakini huyu dogo hajui maana halisi ya private jet!
Yah Mimi ni hater tena sana
Anafikiri private jet atakuwa anapark madale!..
Kasema atanunua Private Jet mwaka huu (2014) hapo sawa lakini sio 2018. Tuweni makini tuache kuhangaika na vitu vinavyotupotezea muda tu.
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,
OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria
Toa comment kama una nyongeza..
So????Leo ni tar 4/8/2018
Akili ndogo huwezi elewaSo????
Tangu adanganye kuimba Wedi kapu simuamini tena
Kumbe kaongo?Tangu adanganye kuimba Wedi kapu simuamini tena
Ndege ya mondi ndiyo ipi katika zilizofika nchini?
haaaaaa mkuu kua na imani na huyu kijana aseeHata mimi nilikuwa disappointed sana