Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.

kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.


Mkuu hii shoo uliisimamia kisawasawa
 
Manji anayo p
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.

kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.[/QUOTEmanji anayo private jet toka mwaka majuzi lakini huyu dogo hajui maana halisi ya private jet!
 
attachment.php


Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,

OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria

Toa comment kama una nyongeza..
Kasema atanunua Private Jet mwaka huu (2014) hapo sawa lakini sio 2018. Tuweni makini tuache kuhangaika na vitu vinavyotupotezea muda tu.
 
Back
Top Bottom