Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Kaka msamehe..huenda kamaanisha atanunua hiyo gar swma huyu nyumbu mleta mada kakimbia had kupitiliza nyumban hahaha
 
hahaaa. unabii huu!!
 
Private jet kwa investment gani aliyonayo?anadhani private jet ni kukata mauno hadharani.
 
coz possible but iyo ndege aliyopost in very expensive coz hiyo ni gulf stream ya Davido tu enyew (bombardier Challenger) cost u$ 21mil sawa na tsh 52.5 bill ana pesa but hivo vitu siyo virahisi
 
Hivi hizo gari alizowanunulia Mama yake, Baba wa Kambo plus Demu wake ni kweli au Katupiga changa la macho??

Nasema changa la macho kwa sababu kuu 3..

1. Kama ni kweli alinunua hizo gari kwa ajiri ya Mama yake na Mke wake mbona hizo gari hazina Number za Usajiri kutoka TRA? Maana kama zingekua na number za usajiri watu wangechungulia TRA pale kujua majina ya card kwenye hizo gari

2. Mbona kadi za magari hatukuziona?? Maana kadi ya gari ndiyo mchawi mwenyewe,lakini gari zimepigwa picha tu na wala hatukuonyeswa kadi za gari kama alivyofanya kwa Marehemu Ngulumo pindi kampa gari?

3. Mbona hatukuona hata funguo za gari? Yaan Mondi anamkabidhi funguo mke wake au mama yake? Yaan hatukuona hata mama yake au demu wake wakifungua milango ya magari nakukaa ndani nakupiga picha??

Kusema na ukweli kwa upande wangu... Hili ni changa la moto tu... Wazungu wanamsemo wao (Time will tell)
 
coz possible but iyo ndege aliyopost in very expensive coz hiyo ni gulf stream ya Davido tu enyew (bombardier Challenger) cost u$ 21mil sawa na tsh 52.5 bill ana pesa but hivo vitu siyo virahisi

Gulf Stream cost how much?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…