Hiyo jet ananunua n hela zipi au hajui maana y jet.? Hko instagram wote vilaza kazi kuaupload picha z kijinga 2.hyo jet c chini ya $10m aangalie sana mana sifa zinaua
Utawaweza watz ..kwanza hiyo post ina week ngapi sijui insta..na ndoto zake ni siku moja amiliki private jet,hajasema mwaka huu anannunua na inaweza ikatimia pia
kwa miaka 4 iliyopita
kipindi analipwa elfu 1500 kwenye kibarua..enzi hizo angesemandoto zake aje amiliki
gari si angeonekana kichekesho>??
lakin now kwake kununua gari ni kawa anaenda kununua ndala kariakoo
..so kila kitu kinawezekana
V8-chief kiumbe
Jet-Papa Msofe au ostazi juma?????
Good for u Diamond wakimbize .....!!ipe roho ile kitu inapenda maisha yenyewe mafupi , wenye chuki roho mbaya na wivu watakuponda sana but keep it up
US$ 7.5 million unachukua private jet tena brand new...kinacho-matter ni aina! Wakati zipo unazoweza kuchukua hata kwa US$ 5million;bado kuna zingine zinaenda above US$200million....ni kama magari tu! Wakati unaweza kupata gari kwa US$ 15K tena safi kabisa; kuna zingine zinaenda US$500K and above! Kwahiyo hiyo TZS 18.2 billion uliyoweka wewe hata kama hana; inanunua kabisa private jet tena brand new.tusiwe na akili mgando, tuzungumze kwa facts. anaposema 2014 that means he dreams to buy it in 2014 which will always be a dream.
tuangalie facts;
kipato chake kikubwa ni shows na ubalozi wa makampuni.
sidhan kama amewah kufanya show akalipwa zaidi ya 40mil. sasa let me assume this year atakuwa analipwa 50m which is likely to be impossible.
within a year nampa kila siku awe anapiga show moja that means 365 shows (ambayo kama ikitokea atakuwa kavunja rekodi ya dunia).
that means atakuwa kapata kama 18.2bil ambayo sidhan kama inaweza ikanunua hiyo jet.
kwa uwezo wake wa sasa hata akipewa tu hiyo jet awe anaihudumia jasho la meno litamtoka.
AHADI: Kama ndani ya miaka mitano ataweza kununua hiyo jet ntakunya vifungu vidogo vidogo hapa hadi chalinze mzee
thank you for this wise contribution...watu tunaishi katika ndoto, not necessarily zitimie...i don't have any reason why i shouldn't sail in BIG DREAMS! Kwamba, kv nimepanga chumba kimoja cha sh.30K/mwezi wala haiwezi kuwa sababu ya mimi kutoota kujenga/ku-own my own villa.nitofautishie wewe
unajua kila mtu anakuwa na malengo katika maisha lakin si lazima ulipangalo litimie
but ile kind of thinking kwamba I want to do this and this ni nzuri atleast unaonekana una focus
Mi nasubir aje HOD athibitishe
US$ 7.5 million unachukua private jet tena brand new...kinacho-matter ni aina! Wakati zipo unazoweza kuchukua hata kwa US$ 5million;bado kuna zingine zinaenda above US$200million....ni kama magari tu! Wakati unaweza kupata gari kwa US$ 15K tena safi kabisa; kuna zingine zinaenda US$500K and above! Kwahiyo hiyo TZS 18.2 billion uliyoweka wewe hata kama hana; inanunua kabisa private jet tena brand new.
Hoja yangu haikujikita kwenye uwezo wa Diamond bali ikiwa it's possible kupata private jet kwa 18.2 billion. Nafahamu hiyo hela hana, and in fact hata hiyo $5bn.nadhan calculation za hiyo 18.2 billion umeziona zilivyo impossible.
i remember mwaka jana alisema ana 1 billion kwenye account.
Rostam tajiri wa kwanza Tanzania, Mengi, Bakhresa,Dewji MO wote hawa hawana hizo private jet na hela zao ni millions of dollars.
Je wenye thousands of dollars wanaweza nunua?
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaa you made me laugh Evelyn Salt ni kweli mama hapa tujiandae tu kwa masnaps ya kutosha kutoka kwa H.O.D as you said.
Hadi mawingu yatajua habari zake...mweh!!!
Kwahiyo una hofu huenda Platinum hata akitaka kuja posta tu; anaenda kwanza eapoti anapanda jet yake inazunguuka halafu inatua; kisha anateremka anapanda taksii hadi mjini?!Hadi mawingu yatajua habari zake...mweh!!!