Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

attachment.php


Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... [HASHTAG]#2014[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusWaitAndSee[/HASHTAG] [HASHTAG]#KwaniWaoWamewezaje[/HASHTAG] [HASHTAG]#HadiWeUshindwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#WCB[/HASHTAG] for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,

OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria

Toa comment kama una nyongeza..

Mrejesho
 
kaishia kujenga kajumba kwenye maeneo yasiyopimwa..mivumoni madale
 
Mnafikiri private jet ni kama ndala ehee?? Kwamba kila mtu anaweza kuafford tu.

Labda afungue na kanisaa awaibie sadaka weeee ndio aweze kununua hiyo private jet
 
Unajua maana ya neno Allah au umeandika bahati mbaya?

If yes or no naomba ufanye marekebisho plyz
Oook Sory Mkuu Naona umemaanisha kiimani zaidi...nilikuwa namaanisha Alaaa....yaani Kushtushwa na jambo Flani!
 
Back
Top Bottom