Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha sijui imekuwaje hadi hii nyuz hajaileta yeye sijui anaumwa
sijui yupo Bize....
View attachment 138998
Labda hio anunue
Naomba niwe wa mwisho kuamini diamond kununua private jet.
Samahani lakini.
Haaha Mwl Evelyn Salt una vituko sana aiseee!
Alaf nime kutafuta mtaani kwako pale bila mafanikio sijui ulikwenda wapi?
Nyc to see you.
Hahaha ataileta tu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwa hiyo big boss alifanganya alivyoseama amempa ile v8?
Uwazea kununua gari huku nyumba umepanga hizo akili matope
Mbona atawakomba kila kinachokatiza yeye ni kuweka timetable tu wewe leo kesho wewe.![]()
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,
OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria
Toa comment kama una nyongeza..