Upuuzi mtupu! Hili jukwaa ni shidaaa! Ngoja nirudi zangu!
...Ukaomba mtuu!Mtoto sio nguo
hahahahahaaa, you'll make a wonderful "diamond platnumz" fan siku zijazo@pdiddy,mpwa njoo ukemee pepo la kuyeyusha mimba kama lililotokea kwa penny na Wema!!Lishindweee tena wema anasema dai alimuulia watoto wake mapacha sasa maombi yazidi kwa kweliiii..
pabaya kuona kijacho?? wengine wanatambua kama mtoto atazaliwa na down syndrome kwahio wazazi wanaamua ku-abort au vipi. ni hatari.