Diamond kupata mtoto

Diamond kupata mtoto

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
No comment.

A.png
 
@pdiddy,mpwa njoo ukemee pepo la kuyeyusha mimba kama lililotokea kwa penny na Wema!!Lishindweee tena wema anasema dai alimuulia watoto wake mapacha sasa maombi yazidi kwa kweliiii..
 
Mhhhh, teknolojia inatupeleka pabaya wakati mwingine.

pabaya kuona kijacho?? wengine wanatambua kama mtoto atazaliwa na down syndrome kwahio wazazi wanaamua ku-abort au vipi. ni hatari.
 
Ukweli anaujua Mwenyezi mungu kama anauweza wa kumpa mtu ujauzito au laa,na vile vile nimapema sana kusema kama hazai kwani umri wake bado na sidhani kama linamumiza kichwa hilo kwa sasa zaidi ya mziki......
 
@pdiddy,mpwa njoo ukemee pepo la kuyeyusha mimba kama lililotokea kwa penny na Wema!!Lishindweee tena wema anasema dai alimuulia watoto wake mapacha sasa maombi yazidi kwa kweliiii..
hahahahahaaa, you'll make a wonderful "diamond platnumz" fan siku zijazo
 
pabaya kuona kijacho?? wengine wanatambua kama mtoto atazaliwa na down syndrome kwahio wazazi wanaamua ku-abort au vipi. ni hatari.

Hapana Mkuu, simaanishi pabaya kukiona bali kukianika hicho kijacho mtandaoni.
 
Back
Top Bottom