Diamond kupata mtoto

Diamond kupata mtoto

Chaku shangaza nn msiwe wanjinga kupitiliza jamani nenda Mhimbili sasa hiv utakuta wakina mama wana jifunguwa kibao mimi leo mke wangu kani tolea toto lau kweri

Hebu kajifunze kuandika.
 
Nonses kujadili maisha ya watu......na wao kujionesha onesha pia ni upuuzi.....wazazi wapo uswahilini na hujifungua kwa usalama hata Mara 40....sioni cha ajabu hapo....period.

kama hujaelewa ka google..n
 
poa wangu alafu usisahau kumpongeza almas anaexpecty aisee, eeh Mungu isijekuyeyuka kama zile nyingine

shauri yake mwenyewe iyeyuke isiyeyuke mimba matangazo hajui km kuna husda za walimwengu anything can happen
 
Shiiiiiiiiit!!!!!!! Hii personal sana aiseee
 
shauri yake mwenyewe iyeyuke isiyeyuke mimba matangazo hajui km kuna husda za walimwengu anything can happen

kuitwa mgumba kunavumilika kweli?? huwezi jua kafarijika kiasi gani mara mia kuitwa malaya lakini sio tasa aisee. kuna rafki yangu mmoja alitafuta mtoto for five year bila kupata siku alipokuja kupata, mimba ya week 4 aliivalia maternity gowns, so siwezi mshangaa dai.
 
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.

Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!
 
kuitwa mgumba kunavumilika kweli?? huwezi jua kafarijika kiasi gani mara mia kuitwa malaya lakini sio tasa aisee. kuna rafki yangu mmoja alitafuta mtoto for five year bila kupata siku alipokuja kupata, mimba ya week 4 aliivalia maternity gowns, so siwezi mshangaa dai.

kukaa kimya ni jibu la mjinga
 
Im diamond's biggest fan., lakin kwa hili kateleza.
 
Kama ni kweli ujauzito wa Dai wallah kuna watu wataumwaaaa mpaka kucha! Lol

Simpatii picha kinglawrenc

watu wapana hadi Ulta sound ?? aha halafu kanichekesha eti kama hujui maana ya ultra sound ka google kwel umbea kazi
 
Binamu hunifikii mimi nilivyocheka.
Unajua kwa nini? Nilifikiri wewe ndo umeliongeza lile neno la kugoogle, Lol
 
Nonses kujadili maisha ya watu......na wao kujionesha onesha pia ni upuuzi.....wazazi wapo uswahilini na hujifungua kwa usalama hata Mara 40....sioni cha ajabu hapo....period.

Mkuu nothing is nonesense here....we are in right way! Hili ni jukwaa la kujadili maisha ya watu hasa macelebrity!
 
Back
Top Bottom