Nonses kujadili maisha ya watu......na wao kujionesha onesha pia ni upuuzi.....wazazi wapo uswahilini na hujifungua kwa usalama hata Mara 40....sioni cha ajabu hapo....period.
Less than six months tayari wana mtoto!!! Huu uhusiano unaenda kwa kasi ya ajabu, nawaza tu hapa nini kipo nyuma ya kasi hii.
poa wangu alafu usisahau kumpongeza almas anaexpecty aisee, eeh Mungu isijekuyeyuka kama zile nyingine
shauri yake mwenyewe iyeyuke isiyeyuke mimba matangazo hajui km kuna husda za walimwengu anything can happen
kuitwa mgumba kunavumilika kweli?? huwezi jua kafarijika kiasi gani mara mia kuitwa malaya lakini sio tasa aisee. kuna rafki yangu mmoja alitafuta mtoto for five year bila kupata siku alipokuja kupata, mimba ya week 4 aliivalia maternity gowns, so siwezi mshangaa dai.

kukaa kimya ni jibu la mjinga
Kama ni kweli ujauzito wa Dai wallah kuna watu wataumwaaaa mpaka kucha! Lol
Simpatii picha kinglawrenc
Shiiiiiiiiit!!!!!!! Hii personal sana aiseee
watu wapana hadi Ulta sound ?? aha halafu kanichekesha eti kama hujui maana ya ultra sound ka google kwel umbea kazi
nani alimwambia mayai yake akaangie chips??