Diamond kupata mtoto

NAe ndo mana vimimba havichelewi kutokomea kusikojulikana. Mimba ya wiki tu inatangazwa kina jayz wote wajue loh!
Wachawi na wanga wengi ngoja na hyo ipotee xaxa
 

Paula jamani dadaangu hebu achana na hayo maswala jamani.....hiki ulichoandika kinaweza zua ya kuzua tena.

Sisi tusherehekee tuu matunda ya uvunjaji wa amri ya sita wa Dr chibu na Zarithebosslady.
 
Last edited by a moderator:
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.

Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!

Hata mm sijaona mantiki especially when you have people who know how to hate you....hawashindwi kukukwamisha....ukienda kiimani in every stage ulipo kuna roho inafuatilia.
 
Paula jamani dadaangu hebu achana na hayo maswala jamani.....hiki ulichoandika kinaweza zua ya kuzua tena.

Sisi tusherehekee tuu matunda ya uvunjaji wa amri ya sita wa Dr chibu na Zarithebosslady.

nimewapa ukweli wao tuu, mpango wa kubishana na mtu sina wala usihofu kabisa wangu.
 
Diamond mbona anaandika kiingereza cha kishamba namna hii jaman?? Yaani haya mambo ya kukulia maisha ya kayumba na baadae kuja kujidai mtu una swaga ni mambo mabaya sana
 
Mmh shule nzuri sasa hao mameneja sijui wanafanya nini jamaa vuvuzela mimba si itaonekana tu yanini maneno sasa mbona kafuta posti haraka sana
 
Mmh shule nzuri sasa hao mameneja sijui wanafanya nini jamaa vuvuzela mimba si itaonekana tu yanini maneno sasa mbona kafuta posti haraka sana

Meneja aache kufuatilia misele ya shows na mambo zingine za kazi akae insta na twita atangaze diamond na zari wanaexpect a child????
Duuuuh...labda me sijui management na mipaka yake.
 
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??
 

So wewe umehakikisha kuwa mama kakubali au kukataa huu uhusiano???? Kabla sijakuswalika swali lingine
 
panic ya kuitwa mgumba

Hizi timu zinakoelekea kubaya... Huenda sisi mashabiki tunajenga au tunabomoa kabisa.

Kama Diamond alipost hii picha kwa kumjibu Alli kiba zile picha za watoto au kuwajibu wanaomwita MGUMBA.... ALIKOSEA SANA.

Kama kweli kasababisha kwa Zari , hakukua na haja kabisa ya kuanza tapatapa. Angetulia tuli ,, ije ituchukue kama bonge la surprise. Sasa hapa kashawapa ulaji waganga.,, haters watafanya lolote wawezalo. Sijui.
 

Usimuingize MAMA DIAMOND KTK HILI, NINA UHAKIKA MAMA HANA SAUTI TENA KWA DIAMOND.

TUWAJADILI WATOTO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…