Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.
Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!
panic ya kuitwa mgumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.
Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!
geniveros hope kwenye huu uzi hakuna team pinzani aliyepita huku akarusha dogo, au labda ni sawa na haki team kiba kupita kwenye uzi wa diamond na kumkejeli diamond watakavyo huku wengine mkiwasindikiza kwa likes kibao lakini ni dhambi kubwa na uchokozi wa hali ya juu team diamond kupita kwenye uzi wa kiba kutoa mrejesho wa kejeli za team kiba??
Kulikua na haja gani lakin ya kupost hii picha kwa mtandao.
Sielewi mimi tu, au!? Au nazeeka..!!
Paula jamani dadaangu hebu achana na hayo maswala jamani.....hiki ulichoandika kinaweza zua ya kuzua tena.
Sisi tusherehekee tuu matunda ya uvunjaji wa amri ya sita wa Dr chibu na Zarithebosslady.
nimewapa ukweli wao tuu, mpango wa kubishana na mtu sina wala usihofu kabisa wangu.
Mmh shule nzuri sasa hao mameneja sijui wanafanya nini jamaa vuvuzela mimba si itaonekana tu yanini maneno sasa mbona kafuta posti haraka sana
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni yule tu ndo inayomuangusha nashangaa na mama yake anaunga huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ki mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zerp brain wanazugwa na huyu mganda...
panic ya kuitwa mgumba
Kama baba yako hakukupeleka shule mlaani sana mpaka siku yako ya kifo...huyu kijana almas ni shule tu ndo inayomuangusha, nashangaa na mama yake anaunga mkono huu uhusiano na huyu ma.la.y.a wa kiganda...hivi kuna mama humu duniani anaweza kukubali mwanae awe na uhusiano hadi mimba na ji mama la watoto watatu hata liwe zuri kama malaika???huu ni ujinga wa hali ya juu mama na mwanae zero brain wanazugwa na huyu mganda...hivi kuna watu kweli hawawajio waganda hapo east afrika??
nani alimwambia mayai yake akaangie chips??
mawe tunajengea abebe kijibwa...ha ha ha
hahahahaha
Mwalimu happy New year!