Diamond kurudisha kwa jamii kwa kujenga hospitali ya Moyo Tandale

Kuna dogo Diamond aliahidi kumlipia ada ya shule baada ya kucheza nyimbo yake vizuri ila mpaka leo wazazi wa dogo na mkuu wa shule wanalia ada haijalipwa mwaka sasa.
Una uhakika unalolisema? Hiyo issue ilikuwa solved as |Diamond alikuwa anampa mtu fulani alizila pesa sasa anapeleka mwenyewe!

basi misukule ya Madale itakuja mbio mbio kupongeza bila hata kuhoji....

Hiyo misikitini ambayo kishaijenga ipo wapi?!

Kumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason

Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu

Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
Sio poa kuchafua biashara za watu jembe unauhakika na hicho ulichoandika.

Kumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason

Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu

Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
Unaua biashara ya mtu[emoji569]

Acheni ushamba watu maarufu huanzisha na kufanya vitu kama hivyo vya kijamii kupitia foundation zao. Hata akiwa tu hata na 20 percent ya gharama zote. Jambo litakwisha tu. Matajiri wapo wanasubiri ukianzisha tu.
Yule mtoto aliyeahidi kumsomesha bado anaendelea na shule

Diamond hana pesa ya kufungua hospitali ya moyo. Ila anaweza akatumiwa kama chambo na wale jamaa wa gms
Mbona katika maelezo yake ameeleza wazi kuna wadau kutoka nje ya Nchi watamsaidia sasa nyinyi msichoelewa hapo nini mpaka mseme haiwezekani?

Hongera zake kwa moyo wa kutoa katika jamii. Hii ni moja ya siri za mafanikio, tujifunze kutoa kwa jamii.

Hospital ya Moyo Tandale?

Ukitoka kwny Matibabu ya Moyo unarudi home na Kipindupindu!

Yeye kasema anajenga hospital.. Ili awarahisishie wanainchi.. Sasa tena anasema kaongea na wadau mbali mbali wampe VIFAA...HIVI.. HOSPITAL NI VIFAA au JENGO?
Vyote ndugu

Acheni ushamba watu maarufu huanzisha na kufanya vitu kama hivyo vya kijamii kupitia foundation zao. Hata akiwa tu hata na 20 percent ya gharama zote. Jambo litakwisha tu. Matajiri wapo wanasubiri ukianzisha tu.
Yeye ana foundation??

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…