Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini nafsi ya Dakitari yule. Jamani hii nchi ina mambo hii.Yatamkuta yale ya hospitali ya Mengi (Rodney Mutie) Kikavu Moshi na yule daktari wa Moyo kutoka kanda ya ziwa aliyekufa kihoro!
Hadi leo pesa hazijafika msiwe mnatoa ahadi z uongoUna uhakika unalolisema? Hiyo issue ilikuwa solved as |Diamond alikuwa anampa mtu fulani alizila pesa sasa anapeleka mwenyewe!
Mkuu hospital ni vifaa jengo ni shelter tu bila vifaa jengo si kitu, hospital inaweza kuwa hata ndani ya Tent na ikatoa Huduma bora sana kuliko zile zenye magorofa !Yeye kasema anajenga hospital.. Ili awarahisishie wanainchi.. Sasa tena anasema kaongea na wadau mbali mbali wampe VIFAA...HIVI.. HOSPITAL NI VIFAA au JENGO?
Mnajifanya kubeza hana uwezo kama mnajua gharama za kujenga hiyo hospitali, wakati huohuo mnajua uwezo na undani wa aliesema atajenga, ebu tupeni basi bajeti ya kujenga hiyo hospitali...Diamond hana pesa ya kufungua hospitali ya moyo. Ila anaweza akatumiwa kama chambo na wale jamaa wa gms
Hayo Maji Materu afadhali angesema kituo cha afya
Hospitali ya Moyo my foot. Anafikiri ni sawa na ku launch perfume!!!
Jengo tupu linawezaje kuwa hospitali bila ya vifaa vya hospitali? Halafu hilo jengo linasimamaje bila ya kupata vifaa vya ujenziYeye kasema anajenga hospital.. Ili awarahisishie wanainchi.. Sasa tena anasema kaongea na wadau mbali mbali wampe VIFAA...HIVI.. HOSPITAL NI VIFAA au JENGO?
aaaaa jamani!Kumbe chibu pafyumu zake ni mkakati wa free mason <br /><br />Yale maji ya maiti yamechanganywa na damu za paka na binadamu <br /><br />Kwa mtu atakaye tumia atakuwa ananyonywa damu bila kujua na baada ya muda ataandamwa na mikosi .
Point sana. Kitui cha afya ni bira kuliko hiyo anayofikiria. Ashauriwe ipasavyo.Hayo Maji Materu afadhali angesema kituo cha afya
Huyo atakaeyaamini haya atakua chuziUnaua biashara ya mtu[emoji569]
A
Acha wivu na kupotosha watu kama huna evidence
Sio poa kuchafua biashara za watu jembe unauhakika na hicho ulichoandika.
Mkuu, hawa wanafunzi alioahidi kuwalipia ada wapo wawili na wanasoma shule inaitwa East Africa International Academy, shule ipo ile njia ya Mwenge kuelekea Coca Cola karibu sana na ofisi za Clouds.Kuna dogo Diamond aliahidi kumlipia ada ya shule baada ya kucheza nyimbo yake vizuri ila mpaka leo wazazi wa dogo na mkuu wa shule wanalia ada haijalipwa mwaka sasa.
Hadi inatia hasiraMtu akijitoa mnaanza madogo du kweli bongo ni hatari,,
Yote heri..!GSM wanapiga kazi nyuma ya pazia.
Kutumiwa kufanya nini? Au kwa lipi?Diamond hana pesa ya kufungua hospitali ya moyo. Ila anaweza akatumiwa kama chambo na wale jamaa wa gms
Tandale kuna nafasi iliyotengwa ya kujenga Hospital? Tandale yenyewe imejaa angejenga Madale bado nafasi ipo.Hata hivyo nakupongeza Diamond ukihakikisha Wazazi na Ndugu zako wana makazi mazuri kabla ya kurudisha ulichopata kwa jamii.Yatamkuta yale ya hospitali ya Mengi (Rodney Mutie) Kikavu Moshi na yule daktari wa Moyo kutoka kanda ya ziwa aliyekufa kihoro!