TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Ndo ukapigwe na jua kupokea washindani wa simba?Shtuka ww, sio kila kazi inahitaji uwepo muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ukapigwe na jua kupokea washindani wa simba?Shtuka ww, sio kila kazi inahitaji uwepo muda wote
Kama inanipa furaha easy tu, hata kulipia nalipiaNdo ukapigwe na jua kupokea washindani wa simba?
Tafuta pesa Mkuu...... wananchi wako well financially stableKukosa kazi ni kazi sana. Mda wawatu kupiga kazi watu wanaenda kumshangaa diamond? No wonder utopolo walikuwa kutwa wanawapokea washindani wa simba eapoti. Yote hii ni kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato.
Hadi muote vigimbi, kila siku mnapanda kutoka mabondeni kuja mjini.Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2656247
Ulikuwa.....utaelewa Raha ya treble
Uhusiano upo kaka subiri uone kama kuna wananchi wataka kiwazia DP 🌎 world apa Niko paleeeeeeeeeeeeehakuna uhusiano [emoji23][emoji23]View attachment 2656248
Hapn huu mchongo tu waliopewa ma v8 wameleta manufaa gani kwetu wananchi sasa tuko katka vita baridi ya uchumi na inatuchapa tuliko chini huku upepo hauvumi kabisa😂😂Lkn mmeambiwa Kuna manufaa makubwa na huo uwekezaji