Diamond kutumbuiza tamasha la treble la wananchi

Diamond kutumbuiza tamasha la treble la wananchi

Treble ya nyoooko [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
1686620678403.jpg
 
Kila afanyalo UTO simba wameshafanya Kitambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Makolo hawawezi hizi level
 
Kukosa kazi ni kazi sana. Mda wawatu kupiga kazi watu wanaenda kumshangaa diamond? No wonder utopolo walikuwa kutwa wanawapokea washindani wa simba eapoti. Yote hii ni kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato.
Tafuta pesa Mkuu...... wananchi wako well financially stable
 
Ulikuwa.....utaelewa Raha ya treble

Mnapenda kulazimisha mambo. Kuna picha mlikuwa mnaisambaza kabla ya fainali ya shirikisho ikiwa na makombe matatu mkasema mnaenda kupata treble, ngao ya jamii haikuwa moja ya yale makombe.
 
Mnapenda kulazimisha mambo. Kuna picha mlikuwa mnaisambaza kabla ya fainali ya shirikisho ikiwa na makombe matatu mkasema mnaenda kupata treble, ngao ya jamii haikuwa moja ya yale makombe.
Uliona vibaya mkuu
 
Lkn mmeambiwa Kuna manufaa makubwa na huo uwekezaji
Hapn huu mchongo tu waliopewa ma v8 wameleta manufaa gani kwetu wananchi sasa tuko katka vita baridi ya uchumi na inatuchapa tuliko chini huku upepo hauvumi kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom