Diamond kuuza Instagram Account yake kwa shilingi bilioni NNE za Tanzania

Diamond kuuza Instagram Account yake kwa shilingi bilioni NNE za Tanzania

Vipi maandamano ya UKUTA yameshaanza?
 
Hiyo bei ya Account ya instagram peke yake au na kitobo????
 
Aiseeeee!!!diomond diomond diomond diomond diomond diomond,tumekuchoka sasa domo hebu tupatie pumzi sasa
 
Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color

Explain to me how white is your father [emoji848][emoji13]
 
Ile ya Kim Kardashian nadhani itauzwa 1.5trl !!
 
Certainly i am following him so selling will make me to unfollow the account
 
Akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chat show cha clouds TV ameulizwa endapo akitaka kuiuza Instagram Account yake ataiuza kwa sh ngapi..akajibu dola milioni mbili za marekani ambayo ni sawa na sh bilioni NNE za Tanzania....Kazi kwenu wanunuzi

Mimi hata anilipe ela niwe na account yake wala siwezi kubali

Eti bilioni 4 hahahaha aisee kweli black is not colour na ndomo lake lile dah aisee
 
Yaani watu mnavyoponda mnaonesha ni namna gani watu wasioenda shule walivyotuzidi!!! I wish mngekuwa na uelewa wa kutosha kuhusu digital marketing na how much social media influencers make huko duniani! It's just a matter of time but trust me, kama haukuwa serious na instagram account yako start now to be serious na kukuza idadi ya followers! I repeat, it's a matter of time; muda si mrefu Tanzania hii hii utakuwa mtu mwenye Followers 500K anakuzidi kipato wewe Meneja wa tawi la benki hapa mjini!!
 
Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
kwa hiyo afanye kama Justin Beiber?? Acheni ujinga wenu huooo mnakuwa kama hamjaenda shule..Wivu tu unawasumbua..
 
Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Jamaa umetisha sana kwa kweli black is not colour
 
Back
Top Bottom