PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mie nauza yangu ya JF buku tano tu.
Aisee umeniwahi kidogo. Mi hii yangu ya JF nauza 50k tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nauza yangu ya JF buku tano tu.
Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Ha ha haWew kila kitu anachokifanya mdhungu basi kwako kila raia afanye hivyo hivyo, akinya barabarani inabidi wengine nao wanye barabrani, akikojoa hivyo hivyo. I repeat again SHENZI TAIPU BULAKI KARA.
Chege huyu huyu.Kama Alivyofanya CHEGE.
Biadhara gani hiyo kwa mashabiki wa bongofleva (followers)?Wanaitumia kutangaza biashara coz INA followers wengi
Akihojiwa katika kipindi cha D'wikend Chat show cha clouds TV ameulizwa endapo akitaka kuiuza Instagram Account yake ataiuza kwa sh ngapi..akajibu dola milioni mbili za marekani ambayo ni sawa na sh bilioni NNE za Tanzania....Kazi kwenu wanunuzi
kwa hiyo afanye kama Justin Beiber?? Acheni ujinga wenu huooo mnakuwa kama hamjaenda shule..Wivu tu unawasumbua..Justin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color
Jamaa umetisha sana kwa kweli black is not colourJustin Bieber alikuwa na 78+million followers instagram na aliifuta account yake bila mbwembwe mi nina followers 2million ila sasa mtanikoma shenzi nyie, black is not color