Diamond kuwa mbunifu unaiga mpaka unakera sasa

Hata mie hilo nmeliona ila hata sisi clouds tumeiga mengi sana kutoka Wasafi pia sio mbaya kuiga jambo jema

Ila umeandika hili kwa sababu humpendi na umesema kabisa humpendi ila sijui kama anajua kuwa humpendi
 
Siku zote clouds huanza,wengine huiga
Hakuna asiyejua kuwa clouds ndo kila kitu bongo hasa katika burudani,hao wasafi ni watoto wadogo sana...ni heri basi hata kiss fm,RFA,times au E-fm
Wasafi is overrated,lakini hawana cha maana kuwazidi E-fm,times,radio 5,ebony fm ukiiacha choice fm

Halafu nilishasema domo hakuna kitu anaweza kufanya ye mwenyewe bila kuiga sehemu
 
Wafanyakazi wa clouds mnashida
 
Wajinga nyinyi in King kaka's Voice
Siku zote clouds huanza,wengine huiga
Hakuna asiyejua kuwa clouds ndo kila kitu bongo hasa katika burudani,hao wasafi ni watoto wadogo sana...ni heri basi hata kiss fm,RFA,times au E-fm
Wasafi is overrated,lakini hawana cha maana kuwazidi E-fm,times,radio 5,ebony fm ukiiacha choice fm

Halafu nilishasema domo hakuna kitu anaweza kufanya ye mwenyewe bila kuiga sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa lugha nyepesi mwenye thread Mimi nasema wana jf wamekukataa😀😀
 
Back
Top Bottom