Diamond kuwa mbunifu unaiga mpaka unakera sasa

Hivi icon ya kigoma ni nini? Ilitaka uweke michikichi hapo? Mbna akili nzito hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana Kigma bila reli siyo Kigma,au ina maana Kigma haina kitu kingine kinachowakiliswah na isipokua reli ?
Mbona unakua na akili nzito kama uji wa magimbi.
Ina maana Kigoma huwakilishwa na reli peke yake,ndio maana akaambiwa awe mbunifu maana wewe na yeye hata mngekaa Kigoma mika 10000000000 mngebaki kutambua reli tu basi,kha.
 
Unajua icon wewe? Rudi shule mkuu

،
Screenshot_20191222-101925.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua icon wewe? Rudi shule mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
 
Pia na wewe umeiga kutuma comment humu jamvini.
 
Vipi kama wenye huo Mtireni wao ndio wamemshawishi afanye hivyo kama sehemu ya kujitangaza?
 
Nani mtoto wa shule ,we jamaa vipi? Hebu tubunie wewe,ungeweka kitu gani ili kuitambulisha kigoma kuzidi Train? Si ungepost mawese wewe.
Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
Idd Ninga
Nilisoma Na mtu mwenye jina hili A'Level,alinitangulia mwaka mmoja.
 
Back
Top Bottom