Inamaana Kigma bila reli siyo Kigma,au ina maana Kigma haina kitu kingine kinachowakiliswah na isipokua reli ?Hivi icon ya kigoma ni nini? Ilitaka uweke michikichi hapo? Mbna akili nzito hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana Kigma bila reli siyo Kigma,au ina maana Kigma haina kitu kingine kinachowakiliswah na isipokua reli ?
Mbona unakua na akili nzito kama uji wa magimbi.
Ina maana Kigoma huwakilishwa na reli peke yake,ndio maana akaambiwa awe mbunifu maana wewe na yeye hata mngekaa Kigoma mika 10000000000 mngebaki kutambua reli tu basi,kha.
Kwahio mo kutengeneza mo energy kamuiga redbull... au mkwawa drinking water kamuiga uhai??
Hivi mzee baba unawaza kwa kutumia nini??
Mbumbumbu ni wewe unayelalamika, eti kaiga! Acha wivu mbongo, shughulika na mambo yako.Hujui ndio maana hujui wewe ni mbumbumbu
Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
Pia na wewe umeiga kutuma comment humu jamvini.Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
Sikatai.Pia na wewe umeiga kutuma comment humu jamvini.
Na pia hao clouds nao wameiga kuanzisha redioSikatai.
Mbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
Idd NingaMbona unakwama kuelewa aise,halafu nyie watoto wa shuleee shuleeee,mnajifanya mnajua shule na vielimu vyenu vya kunga unga kama minyororo ya kuvutia magari,toka msome hata mlichofanya hamna zaidi ya kuwaza tu mkoa wa Kigoma una alama moja ya kuutambulisha mkoa huo,haya kamwambie sasa huyo Diamond wako aache kuiga.
Hakuna kufa na kupona kuna kufa au kupona!!..haya endelea kubishana!kwa akili hizi tayari wewe ni maskini wakufa na kupona