Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
atarudi mbagala akasukume mkoko 10.
Ndio maana kumbe kweli kipaumbele cha kwanza kiwe elimu. Mada inasema "Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa" sasa hayo ya akikosa au akipata tuzo yanatoka wapi?Mleta uzi una husda za kichawi hiyo tuzo akiikosa utapewa wewe?
Kama siasa ingekuwa inauwezo wa kumpandisha mtu au kumzika kisanii, diamond angekuwa amekufa kisanii tokea anapigia kampeni 2010 akiwa na tuzo tatu tu!!! Lakini mpaka leo hajashuka na anazo zaidi ya 35 na sio kama 2010 hakuna watu waliokuwa wanataka mabadiliko walikuwepo sana tu!!
Na kwa staili hiyo roma na nay wa mitego ndio wangekuwa nominated mtvema awards na sio diamond hahahahah au video zao ndio zingekuwa zinachezwa vituo vikubwa lakini holaaaaaaaaaaaaaa hata hawawajui mziki sio siasa na siasa sio mziki hata kama kuna mashabiki watazingua sio wote kati ya mamilioni ulionao
Kwanini asiwe PROF J,NEY WA MITEGO,ROMA na KALA JEREMIAH!!Hivi nyie chaggadema akili zenu zimesetiwa kufikiri upande mmoja tu kwamba mna uwezo wa kumuamria mtu hatima yake.
Kwanini asiwe PROF J,NEY WA MITEGO,ROMA na KALA JEREMIAH!!Hivi nyie chaggadema akili zenu zimesetiwa kufikiri upande mmoja tu kwamba mna uwezo wa kumuamria mtu hatima yake.
yani mnanipaje raha,ushabiki hadi akili ni zakijani,roma anaomba kura za tuzo gani? Fact ni kuwa shabiki wa diamond aliye chadema hawez vote kw diamond.
View attachment 289171
2013 alikua na mawazo mazuri tu sijui imekuaje ghafla bin Vuu
Mkuu huyu kijana hajitambui kabisa nakumbuka alilamikaga sana hadi kwenye media hilo swala la CALLERTUNES BAADA YA KULIPWA MILLION.39 KWA MWAKA WAKATI REPORT YA SERIKALI(KUPITIA NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAWASILIANO) MAKAMPUNI YA SIMU YANAINGIZA TAKRIBANI BILLION.37 KWA MWAKA KUPITIA HUDUMA YAO YA CALLERTUNES HUKU WAO WASANII WAKIWA WANANYONYWA KWA KULIPWA KIDUCHU SANA...LAKINI CHA KUSHANGAZA LEO NDO ANAIPIGANIA CCM HADI HURUMA...Ooh! My God have mercy for him.
Haaa anavuta pesa anafanya kazi. Nani amekwambia chama kingine kikiingia kitafanya tofauti? So unajua nani yupo Voda pia au?
Ingekuwa hiyo post ni ya Jana au juzi eeeh tungehata kupa namba yake umpigie umuulize aliyoandika, sasa ya miaka miwili iliyopita bado unafikiri mambo yako hivyo hivyo kwake?
Mwacheni ashabikie mbona nyie mnashabikia vyama hamsemwi. Akina Kiba, etc hamuwasemi
Wivu.com mtanyooka tu
Mkikosa hoja mnaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Watu wenye roho mbaya utawajuwa tu.
Halafu hawa wachagga ndiyo tuwape Ikulu?
Mawee!
Safar hii had Kweredema inakuja stay tuned
Wewe moshi usifikiri ninyi wachagga mnaweza kumteka kila mtu kimawazo.Pimb
Kwanini asiwe PROF J,NEY WA MITEGO,ROMA na KALA JEREMIAH!!Hivi nyie chaggadema akili zenu zimesetiwa kufikiri upande mmoja tu kwamba mna uwezo wa kumuamria mtu hatima yake.
Watanzania ni wasahaulifu sana