Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

Mleta uzi una husda za kichawi hiyo tuzo akiikosa utapewa wewe?
Ndio maana kumbe kweli kipaumbele cha kwanza kiwe elimu. Mada inasema "Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa" sasa hayo ya akikosa au akipata tuzo yanatoka wapi?
Kwa vile jicho lako haliangalii impact ya siasa inayoongelewa katika sanaa hasa kwa kiwango cha nchi yetu wewe unadhani ni yale mambo yenu ya timu nani sijui na nani huwezi kuelewa kamwe. Binafsi napenda sana vijana waendelee kupata tuzo hasa za kimataifa kwani zina inua muziki na wasanii wenyewe, mashaka yangu ni hiyo Impact ya kisiasa inavyoweza kupunguza kasi zao bila wenyewe kujua.
 
Kama siasa ingekuwa inauwezo wa kumpandisha mtu au kumzika kisanii, diamond angekuwa amekufa kisanii tokea anapigia kampeni 2010 akiwa na tuzo tatu tu!!! Lakini mpaka leo hajashuka na anazo zaidi ya 35 na sio kama 2010 hakuna watu waliokuwa wanataka mabadiliko walikuwepo sana tu!!

Na kwa staili hiyo roma na nay wa mitego ndio wangekuwa nominated mtvema awards na sio diamond hahahahah au video zao ndio zingekuwa zinachezwa vituo vikubwa lakini holaaaaaaaaaaaaaa hata hawawajui mziki sio siasa na siasa sio mziki hata kama kuna mashabiki watazingua sio wote kati ya mamilioni ulionao

Endelea kujipa moyo kusoma hujui hata picha huoni.This is 2015 mzee not 2010 muamko wa sasa acha kabisa watu wanataka mabadiliko by any means..... In short huyo diamond kabugi mkubali mkatae kujiingiZa kwenye siasa plus ushabiki wa kipuuzi juu,let's wait and see
 
Kwanini asiwe PROF J,NEY WA MITEGO,ROMA na KALA JEREMIAH!!Hivi nyie chaggadema akili zenu zimesetiwa kufikiri upande mmoja tu kwamba mna uwezo wa kumuamria mtu hatima yake.

Punguza Munkari...Andika kiswahili Fasah then ntarud kukujibu!
 
ImageUploadedByJamiiForums1442783296.115523.jpg
2013 alikua na mawazo mazuri tu sijui imekuaje ghafla bin Vuu
 
Kwa hiyo wanakugongeaga nyumbani kwako kukutaarifu na wakati huu hawajakugongea ndio umeamua kuandika haya...

Vipi sherehe ya leo umeona picha bado inaendelea sasa hivi.
 
View attachment 289171
2013 alikua na mawazo mazuri tu sijui imekuaje ghafla bin Vuu

Mkuu huyu kijana hajitambui kabisa nakumbuka alilamikaga sana hadi kwenye media hilo swala la CALLERTUNES BAADA YA KULIPWA MILLION.39 KWA MWAKA WAKATI REPORT YA SERIKALI(KUPITIA NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAWASILIANO) MAKAMPUNI YA SIMU YANAINGIZA TAKRIBANI BILLION.37 KWA MWAKA KUPITIA HUDUMA YAO YA CALLERTUNES HUKU WAO WASANII WAKIWA WANANYONYWA KWA KULIPWA KIDUCHU SANA...LAKINI CHA KUSHANGAZA LEO NDO ANAIPIGANIA CCM HADI HURUMA...Ooh! My God have mercy for him.
 
Haaa anavuta pesa anafanya kazi. Nani amekwambia chama kingine kikiingia kitafanya tofauti? So unajua nani yupo Voda pia au?

Ingekuwa hiyo post ni ya Jana au juzi eeeh tungehata kupa namba yake umpigie umuulize aliyoandika, sasa ya miaka miwili iliyopita bado unafikiri mambo yako hivyo hivyo kwake?

Mwacheni ashabikie mbona nyie mnashabikia vyama hamsemwi. Akina Kiba, etc hamuwasemi

Wivu.com mtanyooka tu
 
Heeh!...ni hivii haijalishi voda yupo nani...mbona huulizi MRADI WA DART AMEUSHIKILIA NANI?..HADI KUFIKIA HATUA YA NAULI KUPANDA HADI 1000/= KUTOKEA 400/= KABLA ATA YA WEEK 3 TOKEA KUWASILI KWA ZILE BASI??...SASA JIULIZE IKIWA NAULI YA 400/= MTANZANIA WA KAWAIDA ANASHINDWA KUMUDU NDO ITAKUWA HIYO WALIYOPANDISHA???,PIA SINA HAJA NA NAMBA YA HUYO PRO-CCM...UKAE UKIJUA "SIKU ZOTE MWENYE SHIBE HAMJUI MWENYE NJAA"...MAANA HIYO POST NI YA 2013 PINDI HUYO MONDI AKIWA HAJAPATA MAFANIKIO ALIYONAYO SASA NDO MAANA AKALIPIGIA KELELE HILO...ILA SAHIVI KAPATA HAYO MAFANIKIO AMESHASAHAU HUO UZEMBE WA SERIKALI YA CCM WA "KUTOTOA MAJIBU YA MASWALI YA MAPATO YA BIASHARA YA CALLERTUNES"...NA KWA NAMNA HII TUNASEMA HUYU JAMAA HANA MAANA TENA KWA WATZ EBU AJARIBU KUANGALIA HADI MUDA HUU SERIKALI YA CCM IKIWA MADARAKANI NI WASANII WANGAPI WANA MAFANIKIO KAMA YAKE???...NA KAMA WAPO HAWAFIKI ATA WATATU...SASA ATUAMBIE NI NAMNA GANI SERIKALI YA CCM INA WASAIDIA WAO WASANII KWA UJUMLA NA SIO YEYE PEKEE(tena kiushikaji kupitia JK)???...mimi ndio nina CHAMA lakini kwa nature ya kazi yake ina limit hayo anayofanya sasa japo akatazwi kuwa na chama na ukitaka kuamini nina choongea ngoja LITAONEKANA FRESH SOON MWEZI MMOJA BAADA YA UCHAGUZI (Haijalishi atapita LOWASSA AU MAGUFULI)...hivyo unavyo reply jaribu kufikiri vizuri kwanza,KUHUSU KIBA MIMI NILISHAVUNJA NAE MKATABA KITAMBO!
 
ccm imemmaliza kisanii kabisa..sasa hivi hata akifanya show mbagala kiingilio buku watu hawaendi?
 
Amejisahau aliko tokea, kalevya na salam za JK, na harufu za chai za ikulu. Ataisoma namba mwaka huu.
 
Watanzania ni wasahaulifu sana
 
Attachments

  • 1442814943660.jpg
    1442814943660.jpg
    46.9 KB · Views: 240
Kwanini asiwe PROF J,NEY WA MITEGO,ROMA na KALA JEREMIAH!!Hivi nyie chaggadema akili zenu zimesetiwa kufikiri upande mmoja tu kwamba mna uwezo wa kumuamria mtu hatima yake.

huwezi mfananisha diamond na hao👆👆. Roma, Ney, Kala wameteuliwa kuwania tuzo gani? prof jay usanii ashaupiga kumbo sasa ni mwanasiasa.
 
Tar 9/04/2013
alipost hiki kwenye account yake fb.Hawa wasanii wetu bhana.
 
Attachments

  • 1442815723263.jpg
    1442815723263.jpg
    47.7 KB · Views: 166
Back
Top Bottom