BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
-
- #21
[emoji28][emoji28]Rihanna?
Hebu ngoja niweke akiba ya maneno.
[emoji23][emoji23] alaf na lile lisaut lizito HAAAH..yoh diamond platnumz maybach musicUnasikia Ile maybach music ha ha ha
Dah itakua history nzuriNatamani diamond afanye collabo na Kanye west, hasa baada ya ile picha waliyopiga pamoja.
--au afanye collabo na nicki minaj itakuwa poa sana,
Ila sasa rick ross asimbanie jamaa kama nlivosikia alivowabania p square mwenye uelewa wa hili ataelezea vizuri hapaUnasikia Ile maybach music ha ha ha
nothing impossible under the sun!Hii isiwe Chai kama ya Shishi baby na J Lo
Ofkoz true, ila rick ross asimbanie kama alivowabania p square.nothing impossible under the sun!
Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?Ila sasa rick ross asimbanie jamaa kama nlivosikia alivowabania p square mwenye uelewa wa hili ataelezea vizuri hapa
how?Ofkoz true, ila rick ross asimbanie kama alivowabania p square.
Sjui anapata wap mda wa kujibizana nao hua sielewi kwa kwelall the best Ila sasa hivi naseeb angeachana na biashara za kujibizana afokas kwenye mziki wake!
riri an rick rock Ross ukiwa na pesa unawapata tu
Kuna mdau alielezeaga humu kwa undani zaidi nafikir akiona hii post atakuja kuelezea zaidi.how?
Kama Psquare waliweza kufanya collabo na Rick ross katika beautiful onyinye mwaka 2012, kwa mtu mzima diamond pia inawezekana.Dah itakua history nzuri
Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?
Rudi kulala ukaimalizie hii ndoto yako mkuuNajaribu kumuangalia Mondi kwa jicho la tatu kwa siku za mbeleni namuona ni wa level akina J zee,West...soon hatutaweza kumfanansha na timu naniliu[emoji4]