Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

1479966104023.jpg

1479966114662.jpg
 
Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.

Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?

Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?

La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
 
Dah itakua history nzuri
Kama Psquare waliweza kufanya collabo na Rick ross katika beautiful onyinye mwaka 2012, kwa mtu mzima diamond pia inawezekana.
-* tujikumbushe kidogo alivyochana mnyama Rick ross kwenye collabo

[Rick Ross:]
Konvict Music (Maybach Music)
We fell in love on the first day,
The first day Huh!
A beautiful girl gon make the
Earth shake
I look into the mirror all I do is stare
In the back of my mind all I see
Is her (boss)
Turn up the music we bumping
P Square yea
Number one in the game and
We gon be here Huh! (Maybach Music)
Always making hits, am I
A Konvict? Huh!
We talking money here you
Talking nonsense ha
Making slow love to my baby girl
Got the big trucks pulling up everywhere Huh
You only live once and that's the anthem
All your negative energy feed cancer
I can look into her eyes for my whole life
We can make love for the whole night yea Huh!
Take my hand baby,
(Rozay)
I just wanna be your man baby
 
Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?
Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)
 
Back
Top Bottom