Wajaribu kuwasikilizisha watu wasiojua kbs kiswahili huu mziki hlf wawasikie maoni yao ndio watapomuona huyo domo wao kuwa kumbe ni takataka...hamna mziki wa maana ni kujazana ujinga tu na mapromo uchwaraKwa muziki upi...
Kwajinsi tunavyomjua domo Pengine domo mwenyewe ndio aliojiongeza kuwaambia hao Mtv base kuwa in the future ana mpango wa kufanya collabo na Chriss Brown
Alafu cha ajabu huyu jamaa wakati kiba anasign na sonny nakusema kuwa watamlipia video jamaa akasema yeye hawezi kulipiwa hela ya video sababu uwezo anao jana anasema universal wamemlipa hela ya kulipia video mwaka mzima!! Halafu fan wake wanachekelea! Only in tzTatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.
Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?
Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?
La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Alienda kuomba selfie na Kanye west akadai Kanye mwenyewe kamshobokea kisa kamuona na viatu na kuna ngoma kamuomba pia waipike hivyo wapo studio wazaramu wa watu maskini ya mungu tukakaa mkao wa kula kumbe domo mhuni tuNatamani diamond afanye collabo na Kanye west, hasa baada ya ile picha waliyopiga pamoja.
--au afanye collabo na nicki minaj itakuwa poa sana,
Duh kumbe p square walibaniwa aiseeeIla sasa rick ross asimbanie jamaa kama nlivosikia alivowabania p square mwenye uelewa wa hili ataelezea vizuri hapa
Duh hizi chuki za wazi kabisaWajaribu kuwasikilizisha watu wasiojua kbs kiswahili huu mziki hlf wawasikie maoni yao ndio watapomuona huyo domo wao kuwa kumbe ni takataka...hamna mziki wa maana ni kujazana ujinga tu na mapromo uchwara
Mhh ..maneno mbona kama chuki mkuuKwajinsi tunavyomjua domo Pengine domo mwenyewe ndio aliojiongeza kuwaambia hao Mtv base kuwa in the future ana mpango wa kufanya collabo na Chriss Brown
Siunajua domo likiwa kubwa halikosagi pumba za kuongeaga
Yan mtu anakuchukia kias kwamba anataaman hata u ripWabongo tutakuja kufa na vihoro na vinyongo ....na chuki binafsi
Aya maswala ya domoli me sitaki hata kuyasikiaRihanna?
Hebu ngoja niweke akiba ya maneno.
He he he ipo siku atasema Yesu amemuomba collaboNatamani diamond afanye collabo na Kanye west, hasa baada ya ile picha waliyopiga pamoja.
--au afanye collabo na nicki minaj itakuwa poa sana,
Ha ha ha dah uongo mtupuTatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.
Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?
Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?
La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Anayejiaibisha ni sisi jf ama diamond...kwaio kila kitu lazima aseme manager wako..sass kuna haja gan ya kufanya interview na media sasa si angekua anaenda sallam tu kila siku ...punguza mapovu.Anayepaswa kuzungumza maswala ya collabo sio msanii anayepaswa kuzungumza collabo ni manager... JF huwa ina wasomi ila mbona mnajiaibisha kiasi hiki.. Au mmeishia la 7 mkanunua smartphones mkaanza kubishana humu?
Mashabiki kila cha kuambiwa wanaamini!Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.
Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?
Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?
La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Inawezekana, manake anavyoongea kwa uhakika kuhusu kununua views basi bila shaka nae ana huo uzoefu... sasa sijui tatizo pesa anashindwa kununua hata tu-views 1M kwa zaidi ya wiki 2!!Afu hyu
Dimpoz anajua sana kununua viewers ana uzoefu isikute na hawa kanunua
Aise kwa chuki hio Nakupa pole sanaHe he he ipo siku atasema Yesu amemuomba collabo