Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.

Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?

Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?

La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Alafu cha ajabu huyu jamaa wakati kiba anasign na sonny nakusema kuwa watamlipia video jamaa akasema yeye hawezi kulipiwa hela ya video sababu uwezo anao jana anasema universal wamemlipa hela ya kulipia video mwaka mzima!! Halafu fan wake wanachekelea! Only in tz
 
Natamani diamond afanye collabo na Kanye west, hasa baada ya ile picha waliyopiga pamoja.
--au afanye collabo na nicki minaj itakuwa poa sana,
Alienda kuomba selfie na Kanye west akadai Kanye mwenyewe kamshobokea kisa kamuona na viatu na kuna ngoma kamuomba pia waipike hivyo wapo studio wazaramu wa watu maskini ya mungu tukakaa mkao wa kula kumbe domo mhuni tu
 
Wajaribu kuwasikilizisha watu wasiojua kbs kiswahili huu mziki hlf wawasikie maoni yao ndio watapomuona huyo domo wao kuwa kumbe ni takataka...hamna mziki wa maana ni kujazana ujinga tu na mapromo uchwara
Duh hizi chuki za wazi kabisa
 
Kwajinsi tunavyomjua domo Pengine domo mwenyewe ndio aliojiongeza kuwaambia hao Mtv base kuwa in the future ana mpango wa kufanya collabo na Chriss Brown
Siunajua domo likiwa kubwa halikosagi pumba za kuongeaga
Mhh ..maneno mbona kama chuki mkuu
 
Anayepaswa kuzungumza maswala ya collabo sio msanii anayepaswa kuzungumza collabo ni manager... JF huwa ina wasomi ila mbona mnajiaibisha kiasi hiki.. Au mmeishia la 7 mkanunua smartphones mkaanza kubishana humu?
 
Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.

Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?

Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?

La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Ha ha ha dah uongo mtupu
 
Anayepaswa kuzungumza maswala ya collabo sio msanii anayepaswa kuzungumza collabo ni manager... JF huwa ina wasomi ila mbona mnajiaibisha kiasi hiki.. Au mmeishia la 7 mkanunua smartphones mkaanza kubishana humu?
Anayejiaibisha ni sisi jf ama diamond...kwaio kila kitu lazima aseme manager wako..sass kuna haja gan ya kufanya interview na media sasa si angekua anaenda sallam tu kila siku ...punguza mapovu.
 
Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.

Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?

Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?

La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Mashabiki kila cha kuambiwa wanaamini!
Mahaba Niue
 
Afu hyu

Dimpoz anajua sana kununua viewers ana uzoefu isikute na hawa kanunua
Inawezekana, manake anavyoongea kwa uhakika kuhusu kununua views basi bila shaka nae ana huo uzoefu... sasa sijui tatizo pesa anashindwa kununua hata tu-views 1M kwa zaidi ya wiki 2!!
 
Ndio kick za kumnyima king Kiba airtime na tuzo zake!
Hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom