mbona alikiba kaimba na neyo coke studio one standHio nyimbo inaitwaje..alikiba feat rkelly ..
Kunywa nyembe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aya maswala ya domoli me sitaki hata kuyasikia
Acha roho mbaya ..ni bora ukae kimya kama hujaelewa vizuri na hata hivo nimemfafanulia kias. Roho mbaya haziwasaiidii sana sana mtajipa magonjwa ya moyo tu
Ila sasa rick ross asimbanie jamaa kama nlivosikia alivowabania p square mwenye uelewa wa hili ataelezea vizuri hapa
Kusema ya kua sielewi NACHOKIANDIKA ni kejeli...ungesema kua sikuelewa alichofafanua kwa undani zaidi mdau kuhusu nyimbo ya p square na rick ross kutopewa airtime huko marekani kutokana na rick ross kubania baadhi ya vitu ambavyo vingepelekea collabo yao hiyo kupata airtime huko marekani hapo ningekuelewa lakin sio kwamba sijui nachokiandika ... ila najua kuna ambae atakuja kuelezea kwa undani zaidi.Mkuu pitia hii post hapo chini, niambie wapi nimeandika kitu ambacho hakiko kwenye post.
Maana ya hizo red hapo ni kwamba huna uelewa mzuri wa ulichokiandika, ndo maana unaomba mwenye uelewa atueleweshe sisi wadau.
Sasa hapo roho mbaya iko wapi mkuu?
Kwani haiwezekaniRihanna?
Hebu ngoja niweke akiba ya maneno.
[quote uid=344192 name="STUNTER" post=18611855]Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?[/QUOTE]<br />Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)Mkuu pitia hii post hapo chini, niambie wapi nimeandika kitu ambacho hakiko kwenye post.
Maana ya hizo red hapo ni kwamba huna uelewa mzuri wa ulichokiandika, ndo maana unaomba mwenye uelewa atueleweshe sisi wadau.
Sasa hapo roho mbaya iko wapi mkuu?
Kusema ya kua sielewi NACHOKIANDIKA ni kejeli...ungesema kua sikuelewa alichofafanua kwa undani zaidi mdau kuhusu nyimbo ya p square na rick ross kutopewa airtime huko marekani kutokana na rick ross kubania baadhi ya vitu ambavyo vingepelekea collabo yao hiyo kupata airtime huko marekani hapo ningekuelewa lakin sio kwamba sijui nachokiandika ... ila najua kuna ambae atakuja kuelezea kwa undani zaidi.
<br />Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)[/QUOTE][quote uid=344192 name="STUNTER" post=18611855]Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?
Mkuu kumbe ujaelewa tulikuwa tunazungumzia nini kule...Now nimeelewa kwa nini ulikuwa unabisha kwamba Diamond hawezi kununua nyumba SA,hapa umenyesha rangi yako halisi.
We bado uko na issue za mziki mzuri?. Pole sana. Kwani Kanye ana mziki upi mzuri!!?. Lakini si unamuona!!. Swala ni 'marketing' mkuu. Unaweza ukatumia mziki mzuri kujitengeneza ukawa 'brand'. Ukifanikiwa kuwa 'brand' unaachana na mziki mzuri, kifuatacho unahangaika (market) kuiuza brand yako. Hata hizo label kubwa ukiangalia wanatafuta brand ndio waingie nazo mkataba. Mambo ya "star search" wameachiwa Salama na Madam Ritha. Issue za mziki mzuri Mondi keshazipita kitambo. Hivi sasa hata akipiga makofi akaanza kurudiarudia maneno....."kanyaga", " kanyaga",....."songa", "songa",....."washa", "washa". Akiweka sokoni watu watanunu kama pipi vile. Kwanini?..... We baki na mziki mzuri wako.Kwa muziki upi...
haiwezi miak buku hdi awe peac na kibaNajaribu kumuangalia Mondi kwa jicho la tatu kwa siku za mbeleni namuona ni wa level akina J zee,West...soon hatutaweza kumfanansha na timu naniliu[emoji4]
Kwa muziki upi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ile project yake na chris brown inaendeleaje??
Ahahahaaa umenikumbusha zile mbwembwe mkuu,ukienda kumuuliza sasa hivi atakataa kwamba hajawahi kulopoka kitu kama hichoHii isiwe Chai kama ya Shishi baby na J Lo
geniveros umekua sana siku hizi,au bwashee anatimiza majukumu yake ipasavyo(joke)......!!all the best Ila sasa hivi naseeb angeachana na biashara za kujibizana afokas kwenye mziki wake!
riri an rick rock Ross ukiwa na pesa unawapata tu
Muziki waliimba akina feruz, z anto, MB dog, Hussein machozi, ....wanaimba nyimbo unakuliza bt walifika wapi....anyway huenda walifika lkn wapo wapi leo hii.... wkt nyie mnaangalia sauti mwezenu kwa kisauti chake bado anazurura duniani kufanya show.... huyo mwenye sauti sina uhakika km amefanya show zaidi ya 2 nje ya bara la africa..... mziki ni sauti+biashara.Kwa muziki upi...