Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Acha roho mbaya ..ni bora ukae kimya kama hujaelewa vizuri na hata hivo nimemfafanulia kias. Roho mbaya haziwasaiidii sana sana mtajipa magonjwa ya moyo tu

Mkuu pitia hii post hapo chini, niambie wapi nimeandika kitu ambacho hakiko kwenye post.

Ila sasa rick ross asimbanie jamaa kama nlivosikia alivowabania p square mwenye uelewa wa hili ataelezea vizuri hapa

Maana ya hizo red hapo ni kwamba huna uelewa mzuri wa ulichokiandika, ndo maana unaomba mwenye uelewa atueleweshe sisi wadau.

Sasa hapo roho mbaya iko wapi mkuu?
 
Mkuu pitia hii post hapo chini, niambie wapi nimeandika kitu ambacho hakiko kwenye post.

Maana ya hizo red hapo ni kwamba huna uelewa mzuri wa ulichokiandika, ndo maana unaomba mwenye uelewa atueleweshe sisi wadau.

Sasa hapo roho mbaya iko wapi mkuu?
Kusema ya kua sielewi NACHOKIANDIKA ni kejeli...ungesema kua sikuelewa alichofafanua kwa undani zaidi mdau kuhusu nyimbo ya p square na rick ross kutopewa airtime huko marekani kutokana na rick ross kubania baadhi ya vitu ambavyo vingepelekea collabo yao hiyo kupata airtime huko marekani hapo ningekuelewa lakin sio kwamba sijui nachokiandika ... ila najua kuna ambae atakuja kuelezea kwa undani zaidi.
 
[quote uid=344192 name="STUNTER" post=18611855]Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?[/QUOTE]<br />Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)
 
Kusema ya kua sielewi NACHOKIANDIKA ni kejeli...ungesema kua sikuelewa alichofafanua kwa undani zaidi mdau kuhusu nyimbo ya p square na rick ross kutopewa airtime huko marekani kutokana na rick ross kubania baadhi ya vitu ambavyo vingepelekea collabo yao hiyo kupata airtime huko marekani hapo ningekuelewa lakin sio kwamba sijui nachokiandika ... ila najua kuna ambae atakuja kuelezea kwa undani zaidi.

Punguza hasira mkuu, umenielewesha nimeelewa, niasamehe kwa kuandika vile, nisamehe sana.
 
[quote uid=344192 name="STUNTER" post=18611855]Tuseme ni mimi tu ndo sijaelewa hapa?
<br />Mkuu kuna mdau alielezeaga humu ndan kwa mapana zaidi ile nyimbo ya beautiful onyinye haikupewa airtime huko marekani na ni sababu rick ross kuna vitu aliwabania jamaa (p square)[/QUOTE]
Umeangalia post ya kwanza ukarukia kua sijui nachokiandika wakat nilikwisha kumjibu tayari huyu stunter.
 
Now nimeelewa kwa nini ulikuwa unabisha kwamba Diamond hawezi kununua nyumba SA,hapa umenyesha rangi yako halisi.
Mkuu kumbe ujaelewa tulikuwa tunazungumzia nini kule...

Anyways twende kwa hoja maana Mwanao Naseeb ameshindwa kujibu unaonaje ukimjibia?!

na hii tabia ya mtu akioji kitu mnamwita hater mtaiacha lini?!
 
Kwa muziki upi...
We bado uko na issue za mziki mzuri?. Pole sana. Kwani Kanye ana mziki upi mzuri!!?. Lakini si unamuona!!. Swala ni 'marketing' mkuu. Unaweza ukatumia mziki mzuri kujitengeneza ukawa 'brand'. Ukifanikiwa kuwa 'brand' unaachana na mziki mzuri, kifuatacho unahangaika (market) kuiuza brand yako. Hata hizo label kubwa ukiangalia wanatafuta brand ndio waingie nazo mkataba. Mambo ya "star search" wameachiwa Salama na Madam Ritha. Issue za mziki mzuri Mondi keshazipita kitambo. Hivi sasa hata akipiga makofi akaanza kurudiarudia maneno....."kanyaga", " kanyaga",....."songa", "songa",....."washa", "washa". Akiweka sokoni watu watanunu kama pipi vile. Kwanini?..... We baki na mziki mzuri wako.
 
Najaribu kumuangalia Mondi kwa jicho la tatu kwa siku za mbeleni namuona ni wa level akina J zee,West...soon hatutaweza kumfanansha na timu naniliu[emoji4]
haiwezi miak buku hdi awe peac na kiba
 
Mi nilijua tayri kasha record nao kumbe bdo akimshirikisha rihanna naacha kutumia social networks zote navunja na cm yangu natafta zle alcatel za zaman zenye kioo kdogo kama saa na mwanga wa njano na lain nagundisha na superglue ili isitoke kabisa
 
all the best Ila sasa hivi naseeb angeachana na biashara za kujibizana afokas kwenye mziki wake!

riri an rick rock Ross ukiwa na pesa unawapata tu
geniveros umekua sana siku hizi,au bwashee anatimiza majukumu yake ipasavyo(joke)......!!
 
Kwa muziki upi...
Muziki waliimba akina feruz, z anto, MB dog, Hussein machozi, ....wanaimba nyimbo unakuliza bt walifika wapi....anyway huenda walifika lkn wapo wapi leo hii.... wkt nyie mnaangalia sauti mwezenu kwa kisauti chake bado anazurura duniani kufanya show.... huyo mwenye sauti sina uhakika km amefanya show zaidi ya 2 nje ya bara la africa..... mziki ni sauti+biashara.
 
Back
Top Bottom