Diamond kwa kupiga picha na ma-star wa mbele hajambo

Diamond kwa kupiga picha na ma-star wa mbele hajambo

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa?

Mimi kwangu naona kama ushamba tu hivi coz cjaona msanii yyt wa kibongo au A list ya wasanii Africa wakifanya huo ushamba

Mfano tu mzuri King Kiba kafanya ngoma hadi na kina R Kelly lkn hana hizo ...anakera kweli
 
Sijajua kama ww ni ke au me, kama me basi nakuonea huruma kwani huo ni wivu wa kike huo.Kiba kaenda marekani kapiga picha na fergie wa black eyes peace pamoja na baadhi ya masuper star ambao nao ni baadhi ya mabalozi wa wanyama kapost mipicha kibao , hiyo haitoshi kaenda coke studio kapiga picha na neyo, kuanzia yy mpaka management yake wamepost, ila kapost diamond platnumz roho imakuuma. Najua mnaforce BAKHERESA afanane na CHIEF KIUMBE, lkn haiwezekani na haitokuja kuwezekana.
 
Huwezi kuona hizo picha kama humfuatilii, mbona mimi sijawahi kuziona. Sasa unaeshangaza hapa ni wewe, unamfuatia mtu mwenyewe kwa hiari yako halafu unadai anakukera?
 
Kukosa kazi nayo KAZI!!! vihasira vya kifala na vigubu juu kama una mimba vile..hahahahahaha hatari sana [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ulipaswa kuwa Fb sio huku!! Jf ni ya watu wenye akili na sio watoto rudi Fb kijana
 
Kwani enzi anakutana na r kelly kulikuwa na hizi social media huku bongo kama ilivyo sasa hivi?
 
Kwani yeye akipiga picha wewe mkuu unaumia wapi ???
 
Watu mapovu yanawatoka kwani uongo sasa utafikiri under ground mxiieeeeew
 
basi mwororo. Napendekeza mwakani kupatwa kwa jua kufanyikie huko kwenu.
 
Hahahha naona una kamsonyo kakike,kama imekuchoma chomoa kimbia
 
Back
Top Bottom