Sijajua kama ww ni ke au me, kama me basi nakuonea huruma kwani huo ni wivu wa kike huo.Kiba kaenda marekani kapiga picha na fergie wa black eyes peace pamoja na baadhi ya masuper star ambao nao ni baadhi ya mabalozi wa wanyama kapost mipicha kibao , hiyo haitoshi kaenda coke studio kapiga picha na neyo, kuanzia yy mpaka management yake wamepost, ila kapost diamond platnumz roho imakuuma. Najua mnaforce BAKHERESA afanane na CHIEF KIUMBE, lkn haiwezekani na haitokuja kuwezekana.