Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

chipa GM

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1,815
Reaction score
2,973
Asiwapigie rafiki zangu..niacheee....nasema niacheeeee....Ntakudanganya kwa tabasamu..ntakudanganya kwa kulikie picha..
wanasema kitanda ukitandika lazima ukilalie..

kijana unajua sana. hata ukistaafu..umeufanyia makubwa mziki wa wetu. sidai sana. Leo kinyumbani nyumbani... Nauliza hivi bado wale wengine wanashindana tu..nasikia wanajua kupiga danadana..si wakacheze mpira tu hata Ruvu jkt..au Polisi Moro.

Hebu sikiliza mabalaa hayo...mtaani wa pili mpo..joking

1-

2-

Mwaka huu nilienda Duniani, kwenye mishe mishe.. Denmark, kuna nigtclub moja inaitwa Chateau Motel ipo copenhagen, nilikuwa na jamaa yangu mmoja mcamerun, tulizama ndani..Dj alipiga madude mengi sana ya u.k, usa, mara mishale ya saa 8.0 usiku club ikiwa imeshona,

Nyimbo za Daimond zikapigwa km saba.sikuamini wazungu walivyokuwa wanayarud madude ya tandale.. kidogo, miss you, eneka, fire,.. nilishazoea nikiwa china mfano Beijing klabu ile ya Mix, maeneo ya sanitan kumsikia Diamond kawaida sana au ile clabu ya maeneo ya Wudakuo.

Sasa hawa wengine badala waige mafanikio na njia alizopita mwenzao..wenyewe bifu tu.. Thamani ya Daimond ni zaidi ya Bitcoin 1000. mambo ya bitcoin na thamani yake atakuja Ontario kufafanua.. Next week tukutane kwenye jukwaa la siasa.

Mjini kutamu hapa..but kila mtu apambane na frustrations zake..
 
SAWA WEWE AMBAYO UNA JIPYA
wewe ndio umeleta tuchangie sasa usitarajie kusifia tuu !! na ukifuatilia maudhui ya nyimbo zenyewe yamejaa vijembe kama taarabu sasa kwa msanii mwenye muono wa nyimbo zake kupenya anga la kimataifa ni tatizo kubwa. Ndio mwanzao wa kufulia kifani kwani nyimbo za vijembe huwa hazidumu na wala hazieleweki kwa mtu asiyeijua lugha ile. Sasa mfano mtu anataka kuandika subtitles za kiingereza uli umma wa kimataifa wajue ni nini msanii huyu mkubwa afrika ametunga utaandika nini?
 
Huyu jamaa ni fundi ameanza kunirudisha enzi za ukimuona hasa hapo kwenye niache.
Jamaa ana utunzi flani ambao nlikuwa meumiss safi sana hata mimi hapa nampa big up maana hizi ndizo nyimbo zetu bwana zile za kinaija mimi siIelewag
 
Utasikia watu wanaanza kumpangia jinsi gani ya kuimba, kama wangeweza kumpangia Picasso jinsi ya kuchora vile! Sujui hawajui kazi za sanaa?
 
wewe ndio umeleta tuchangie sasa usitarajie kusifia tuu !! na ukifuatilia maudhui ya nyimbo zenyewe yamejaa vijembe kama taarabu sasa kwa msanii mwenye muono wa nyimbo zake kupenya anga la kimataifa ni tatizo kubwa. Ndio mwanzao wa kufulia kifani kwani nyimbo za vijembe huwa hazidumu na wala hazieleweki kwa mtu asiyeijua lugha ile. Sasa mfano mtu anataka kuandika subtitles za kiingereza uli umma wa kimataifa wajue ni nini msanii huyu mkubwa afrika ametunga utaandika nini?
Izo ni hit za nyumbani c za kimataifa
 
Hizi ni kwa ajili ya solo la ndani
 
Back
Top Bottom