Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

Kaa chini. Uisikilize vizuri. Kuna demu Leo kanichomolea imekuwa ni nyimbo yangu ya siku nzima. Sikomi.
Duh....mapya hata! Yaani muziki inabidi ukae chini kuusikiliza ndio ujue kama mzuri ama la.

Poa lakini, haina noma MTU wangu. Sote tunatoa maoni tu.Hatuwezi kubishana na kufikia muafaka kwenye maoni.
 
Mimi niache ndiyo nmeuelewa sana hapa nimeuweka auto replay.
Halafu nimejiuliza kuhusu beat yake kikaja kugundua kumbe kuna mkono wa maximizer aliyetengeneza aiyola, libebe, happy birthday na hit nyingne nyingi
 
Daaah Hamisa kaharibu utaratibu wa "SIMBA" inabidi tu aimbe kusababisha Zari lake kuingia mitini. Afu kwa mbali naona kachukua bit flan ya Davido!! Lkn si ishu sana acha muziki uendelee lakini nyimbo hizi si za kumsababisha Almasi astaafu muziki....
 
Asiwapigie rafiki zangu..niacheee....nasema niacheeeee....Ntakudanganya kwa tabasamu..ntakudanganya kwa kulikie picha..

wanasema kitanda ukitandika lazima ukilalie..

kijana unajua sana. hata ukistaafu..umeufanyia makubwa mziki wa wetu. sidai sana.
leo kinyumbani nyumbani...

Hebu sikiliza mabalaa hayo...mtaani wa pili mpo..joking

1-

2-

LOVE THEM.

Pure unadulterated, clear, DIAMOND. More valuable than GOLD or PLATINUM.

We need to find a new element in the Periodic Table more valuable than these for this young brother, Naseeb Abdul.

Dogo umeuhakikishia umaarufu wako duniani milele. Umekwishawasikia wakina:
* Mozart
* Bach
* Chopin
* Pavarotti
* Julio Iglesias
* Salim Abdallah
* Mbaraka Mwinshehe
............

Maybe not.

Lakini wewe ni zaidi.

Asante Mungu kwa kuzaliwa Tanzania.
 
Marudio ya melodies za awali alichofanya ni kuweka mashairi mapya lakini kwenye melody hana kipya
Kumbe hilo umeliona. Nikajua peke yangu. Ukweli ni kwamba namkubali sana jamaa na style yake ya kulalamika.

Ukiisikiliza acha nikae kimya, haina tofauti kubwa na niache kwa melody.

Kwakua tunampenda diamond, acha tu tumsifie maana haina namna. Watakuja wanaosema ni majungu, sijui sisi wengine timu nanihiu. Ila huo ndo ukweli mbaba. Labda kama anataka tumuongelee ili apate booster ya wimbo wake unaotoka 1st dec
 
Marudio ya melodies za awali alichofanya ni kuweka mashairi mapya lakini kwenye melody hana kipya
Melody ya nyimbo zipi mkuu ni vyema ukatoa hint... ila all in all huyu jamaa anajituma katika kazi zake ni nyimbo nzuri zanasikilizika biigup kwake
 
wewe ndio umeleta tuchangie sasa usitarajie kusifia tuu !! na ukifuatilia maudhui ya nyimbo zenyewe yamejaa vijembe kama taarabu sasa kwa msanii mwenye muono wa nyimbo zake kupenya anga la kimataifa ni tatizo kubwa. Ndio mwanzao wa kufulia kifani kwani nyimbo za vijembe huwa hazidumu na wala hazieleweki kwa mtu asiyeijua lugha ile. Sasa mfano mtu anataka kuandika subtitles za kiingereza uli umma wa kimataifa wajue ni nini msanii huyu mkubwa afrika ametunga utaandika nini?
Inategemea na msikilizaji anachukua maudhui katika angle ipi... Kuna cha kujifunza inaweza kuwa kijembe but kwa namna ujumbe unavyofikishwa bado msikilizaji ukavutiwa kusikiliza tena na tena....
 
wewe ndio umeleta tuchangie sasa usitarajie kusifia tuu !! na ukifuatilia maudhui ya nyimbo zenyewe yamejaa vijembe kama taarabu sasa kwa msanii mwenye muono wa nyimbo zake kupenya anga la kimataifa ni tatizo kubwa. Ndio mwanzao wa kufulia kifani kwani nyimbo za vijembe huwa hazidumu na wala hazieleweki kwa mtu asiyeijua lugha ile. Sasa mfano mtu anataka kuandika subtitles za kiingereza uli umma wa kimataifa wajue ni nini msanii huyu mkubwa afrika ametunga utaandika nini?
Niya local sio international
 
LOVE THEM.

Pure unadulterated, clear, DIAMOND. More valuable than GOLD or PLATINUM.

We need to find a new element in the Periodic Table more valuable than these for this young brother, Naseeb Abdul.

Dogo umeuhakikishia umaarufu wako duniani milele. Umekwishawasikia wakina:
* Mozart
* Bach
* Chopin
* Pavarotti
* Julio Iglesias
* Salim Abdallah
* Mbaraka Mwinshehe
............

Maybe not.

Lakini wewe ni zaidi.

Asante Mungu kwa kuzaliwa Tanzania.

sasa diamond akikuomba nnl si unampa?
 
wewe ndio umeleta tuchangie sasa usitarajie kusifia tuu !! na ukifuatilia maudhui ya nyimbo zenyewe yamejaa vijembe kama taarabu sasa kwa msanii mwenye muono wa nyimbo zake kupenya anga la kimataifa ni tatizo kubwa. Ndio mwanzao wa kufulia kifani kwani nyimbo za vijembe huwa hazidumu na wala hazieleweki kwa mtu asiyeijua lugha ile. Sasa mfano mtu anataka kuandika subtitles za kiingereza uli umma wa kimataifa wajue ni nini msanii huyu mkubwa afrika ametunga utaandika nini?
Kwa huu wivu wako, ukichokibakiza ni kunywa sumu tu ukufe
 
Back
Top Bottom