Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

Diamond kwa nyimbo hizi mbili mpya: Hata ukistaafu Mziki leo sina cha kukudai Kamanda, hebu sikiliza na wewe.

Mi namsikiliza aslay huku bora aendelee kuimba enecka huu mziki kina aslay watamsumbua sana
 
Mshaambiwa huyo music kwake biashara sidhan kama hapa kuna mtu anachangia bila kuzicheki nyimbo na ndimo mond anamopitiamo
 
yan hz nymbo mkuu hata Kenya hazivuki kiukwel, zpo local sana, hazna amsha amsha
 
Sikomi. Nimeielewa Sanaa. Sijui sababu nimechezea cha mbavu.
Yaani sikomi. Kukataliwa kote huku bado tu nahangaika na mademu
 
Asiwapigie rafiki zangu..niacheee....nasema niacheeeee....Ntakudanganya kwa tabasamu..ntakudanganya kwa kulikie picha..

wanasema kitanda ukitandika lazima ukilalie..

kijana unajua sana. hata ukistaafu..umeufanyia makubwa mziki wa wetu. sidai sana.
leo kinyumbani nyumbani...

Hebu sikiliza mabalaa hayo...mtaani wa pili mpo..joking

1-


2-

huyu ni ICON ya Tz
 
Naona bado sana......kwa maoni yangu hizo mbili hazifikii hata nusu ya record hits zake za awali yeye mwenyewe! Sorry.
 
Mimi ni shabiki wa Bongo fleva kitambo na napenda hasa uandishi wa namna hii alioufanya kwenye SIKOMI safi sana ila akivuta madude yale ndio anaanza Eneka mara Kokoro takataka tupu safi sana dogo angalau umerudi kwenye mizizi.
Ila uyu Diamond anawakera sana wale wa timu yake maana hawezi kuficha kabisa kua Sepetu ni kiboko yake yaani anapiga misele ila yule Wema anashindwa kabisa kusahau biashara yake nahisi yule binti ana kitu maana watoto wote waliopita pale wamewehuka mpaka leo...[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom