htrhizi kwa ajili ya matumizi ya ndani mzee. sifa ya mfanya biashara ni kuangalia soko kote kote
huyu ni ICON ya TzAsiwapigie rafiki zangu..niacheee....nasema niacheeeee....Ntakudanganya kwa tabasamu..ntakudanganya kwa kulikie picha..
wanasema kitanda ukitandika lazima ukilalie..
kijana unajua sana. hata ukistaafu..umeufanyia makubwa mziki wa wetu. sidai sana.
leo kinyumbani nyumbani...
Hebu sikiliza mabalaa hayo...mtaani wa pili mpo..joking
1-
2-
Tuletee nyimbo zako zenye melody Mpya.Marudio ya melodies za awali alichofanya ni kuweka mashairi mapya lakini kwenye melody hana kipya
tatizo watu wamejaa ushabikiSAWA WEWE AMBAYO UNA JIPYA
Achana na sikomi. Ni habari nyingine.Naona bado sana......kwa maoni yangu hizo mbili hazifikii hata nusu ya record hits zake za awali yeye mwenyewe! Sorry.
Ila mafikizolo kucopy ni sawa.Aliniboa alivokopi fall ya davido akaitaveneka
Wapi! Hata ile aliyokopi tu ya Saida Karoli is much better.Achana na sikomi. Ni habari nyingine.