PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Hakuna shida ila si ni kweli
Hebu tufanye kwako
Nikimtongoza mamako utakubali ikiwa umri tunalingana na wewe?
Najua huwezi kubali basi ndivyo ilivyo
Kuna jamaa wa kuitwa Jomo uswahilini kwetu huko alimpiga mitama mpenzi wa mamaake mzazi akaishia Segerea. Ndugu zake wote wakakataa kumtoa bondi. Akaoza Sega Dance alivyotaka ndio kadata kabisa ye kutwa bangi tu hata viatu havai.
Labda nikuulize swali tu, wewe utamkataaje mpenzi wa bi mkubwa? Yaani story itaanzaje? Nielekeze tu kwa mfano.