Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thread mbovu kama hizi papia tunazi#K#KANYAGANdugu wana celebrities forum.
Nakiri kabisa pamoja na nyimbo za diamond platnum kutrend bwna mdogo inaonyesha jinsi gani ameshuka kiwango kwa spidi kubwa mno.
Nilishasema huko nyuma kwamba anguko la huyu bwna haliko mbali! Na huu ndo mwanzo wa kuelekea shimbo
Nyimbo za hovyo maudhui ya hovyo hazifai kusikiliza na watoto wala wazazi Mara 100 nisikilize rhumba kuliko uchafu wako Mara sijui vumbi, kanyaga sijui midude gani hueleweki!
Unatuharibia mziki wetu! Tunataka pure bongo fleva na sio uharo unaotoa hovyo sana huyu Jamaa siku hizi
Ndugu wana celebrities forum.

[emoji12]Ndugu wana celebrities forum.

we ndiyo umetokomea kabisa
Ukweli ni kuwa mziki wetu wa Bongo flava umeshuka kwa kias kikubwa sana,Na hata Diamond mwenyew ukimwuliza atakujibu na kukupa sababu,Diamond saiv ana tumia nguvu nyingi kuurudisha mziki wetu kwenye raman ili uwe kama miaka 4 nyuma lakin naona imekuwa ngumu,Usiseme Diamond kashuka kimzik,sema mziki wetu umeshuka,Soko letu limebaki ni kenya tu,Watanzania uki wambia mziki wetu umeshuka na wakat wanaona msanii akitoa video ndan ya muda mfup ana views 1M hawakuelew kabisa.

Me napenda mziki wetu uende mbali bro,Ila nisikufiche,mziki wetu umeshuka na soko letu limebaki hapa hapa uswahilin na Kenya tu.Kwani zamani ulikuwaje???
4 years back walikuwa wanaenda south ku shoot video leo watu wamefanya investment tunashoot hp hp bongo kumbe hakuna maendeleo???
Changamoto sana
Malezi ya pande mbili...
Point of correction, hizo nyuzi zilianza back in 2012, na kufikia 2014 ndo zikaongezeka kwa kasi sana!!!Tangu mwaka 2017 watu walianza kuleta Nyuzi za kuanguka huyu jamaa lakini hakuanguka mpaka leo kiufupia huu ni mda wake waendelee kuvumilia tu maumivu na fujo zisizo umiza..Rhumba limekua Segere.
Hiyo ni June, 2014!! Miezi sita baadae, yaani January 2015, ikaja hii:-![]()
Anguko la Diamond Platinumz kimziki - JamiiForums
Wakuu sishabikii ,ila I predict nyimbo zote zinazokuja za Diamond Platnumz hazitahit tena,Katoa wimbo unaitwa Kitorondo,nimesikiliza but kaimba rubbish ukifananisha na ''My number one'' count on me hakutakuwa na wimbo mzuri na utakao mjulisha Diamond kimataifa kama ''My number one remix" now...www.jamiiforums.com
, mwezi mmoja baadae, yaani February 2015 akaja huyu:-![]()
Anguko la Diamond Platnumz - JamiiForums
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na muziki, badala yake huu uzembe unawapa nafasi vijana kama Wiista (...www.jamiiforums.com
Na miezi 10 mingine baadae, yaani December 2015 ikaja hii:-![]()
Hivi wangapi mmeanza kuona Diamond kaanza kupotea - JamiiForums
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi, Inspector Haroun na wengine wengi tu waliokwishawika, ila hakuna marefu yasiyo na ncha. Kijana naona ni...www.jamiiforums.com
Kwahiyo hizo ramli za 2017 ni za baadae sana! In short ni ramli za watu waliopata smartphones kuanzia 2017!![]()
Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi - JamiiForums
Jaman ww huu wimbo unaona mzuri kabisa yaan daah kweli kila mtu ana ladha yake kwny music kama utauita huu wimbo ni mzuri daah nitakuwa na wasiwas na masikio yako Sisi wengine tunawasiwasi na akili yako.www.jamiiforums.com
2017 hapo tuu, Kuna hadi mganga alisema jamaa mwisho wake kutamba 2013 huko, enzi za ,magazeti ya Shigongo yanatamba,Tangu mwaka 2017 watu walianza kuleta Nyuzi za kuanguka huyu jamaa lakini hakuanguka mpaka leo kiufupia huu ni mda wake waendelee kuvumilia tu maumivu na fujo zisizo umiza..Rhumba limekua Segere.
Halafu Nimwambie Ndugu mtoa uzi Diamond ndo msanii pekee Tanzania ameimba Nyimbo karibu za aina zote na ni msanii anayebadilisha mziki atakavyo akiimba staili flani utaona na wengine wanafuata...pia ndiye msanii anayejua kuusoma mziki na watu wanaosikiliza kwa haraka na kutoa nyimbo ambayo hata kama haina ujumbe muhimu basi utatikisika kichwa na utasuuza roho yako.
Mwisho "Hakuna kiumbe chenye roho mbaya kama maskini" kaa hapo hapo ukisubiri anguko lake
ndo nashangaa[emoji848][emoji848]Kwan msanii ni diamond tuuu,