Sasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania sana kwenye safari yangu ya Mziki ikiwemo aliuza Pete yake ya ndoa ili tu niwe na uwezo wa kurecord nyimbo.
Meku mtego huoTunapangwa, pete ya ndoa😆
Wengi hawalijui hili.Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani
Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
Afu alikuwa ni mume wa mtu pia sio kama alimuoa🤭🤭 kuna mambo yanachekesha mtu alikuwa na ndoa akawa na mtoto ana baba wawiliSasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.
Hapo hadi wajomba watahusika hasa kama huyo mama hana mume woooiii wanagawana ukoo watoto wanaachwa paka vileUbaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani
Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
Inategemea kama familia ni ya kitapeli au wachagga ndiyo zao-dhulumaHapo hadi wajomba watahusika hasa kama huyo mama hana mume woooiii wanagawana ukoo watoto wanaachwa paka vile
Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani
Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
Kwenye mali hakuna vya mchaga, hata wachaga wapo wameridhika na vyao hawanaga shida na vya marehemu....sababu huwa ni njaa na tamaa huwezi mjua mtu mpaka litokee ndiyo unajua roho ya mtuInategemea kama familia ni ya kitapeli au wachagga ndiyo zao-dhuluma
Wachagga huwa hawaridhiki. Na hupenda kudhulumu vya dada zao au Shangazi au mama wadogo hata kama wao wana mali kuwazidi. Akifa ndipo mtaonja shubiriKwenye mali hakuna vya mchaga, hata wachaga wapo wameridhika na vyao hawanaga shida na vya marehemu....sababu huwa ni njaa na tamaa huwezi mjua mtu mpaka litokee ndiyo unajua roho ya mtu
Kwahiyo Mwanamke akifiwa na mumewe na pete yake ya ndoa nayo inakua imekufa sio?Sasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.
Anawapanga mambururaziTunapangwa, pete ya ndoa😆
Ndoa na mzee Abdul jumaSasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.
Kwani si inawezekana walifunga ndoa kabla hajafa?Sasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.
Dareen sio mtoto wa mama d,.Siku huyo mama akifa, akina queen dareen watagawana mali za mama yao! Mjulisheni,huyo damond hajazaliwa pekeyake.