PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,867
- 23,482
Inategemea kama familia ni ya kitapeli au wachagga ndiyo zao-dhuluma
Aisee wachaga ni noma. Kuna rafiki yangu mmoja kwao wako wengi. Baba yao alifariki wakati yuko kwenye ndoa na mama wa kimachame mwenye watoto wawili wa mwisho. Waliburuzana mahakamani karibu miaka 10, kesi imeisha mwaka huu 2026, yule mama kashinda kakabidhiwa properties zote. Hawa wachaga sio watu wa kushindana nao kwenye mambo ya pesa. Hawashindwi hawa. Kuweni makini wajameni