Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani

Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
Mpaka wahusika wamefikia hatua hiyo ujue kila kitu wameshakipanga, sio rahisi hiko unachosema kitokee
 
Bora ndugu zangu w kuzaliwa na mama yangu wale jasho langu kuliko mwanamke nilie kutana nae ukubwani/uzeeni. Watoto wakikosa huruma ya ndugu zangu nao wakatafute zao sio zambi. Mbona yy mondi katafuta zaike.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mali andika majina ya watoto wako cku ukifa watoto watapata ahueni maana wanawake wanaamini kuwa wanaume sisi ndio tunatangulia kufa. Mama mpe share yake lakin sio mali yote na mke wako kama humuamini na huna watoto ndo unaweza kuandika mamako. Mondi shda yake anaijuwa mwenyewe ndio maana anafanya hivyo.
 
Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani

Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
Ni risk sana maybe uwe mtoto wa pekee kwenye family yenu kinyume na hapo ni kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
Kipindi nafuatilia udaku alisema cheni na ndiyo ilikuwa ikitajwa zaidi Leo Pete kweli wasanii na usanii wao
😄 Ambacho wabongo hawakijui

Ukiwa msanii Unatakiwa kumtafuta muandishi akutengenezee story ya kuhuzunisha Ili uweze kuvutia audience Yako yaani watu wapate kitu Cha kukuongelea wakati ndio unakuja kwenye industry so story nyingi Huwa ni za kutungwa kwaajili ya kupay attention
 
Aahhh kuna mambo mengine hata kama pesa ni kila kitu kuna issue ukizifanya kwenye jamii aaghhrr eti diamond akabadilishiwa baba uzeeni naye anacheka tu sa kuna raha gani pale
Umaarufu ndio unataka hivyo lazima uishi kama umezibuka Akili 😁😁😁

Kama hauwezi kawe doctor huko au mwanasiasa but umaarufu wa Sanaa unataka mtu awe asmevurugwa ili upate kuongelewa Kila kukicha
 
🤣🤣🤣🤣
Ndio umaarufu unavyotaka na diamond hicho ndio alicho wazidi wenzake 😂😂

Lazima uwe na kitu au mambo yanayo kufanya uzungumzwe Sanaa Yako pekee haitoshi unaweza kutoa nyimbo/wimbo lakini watu wasiupende so lazima uwe na vitu vya ziada ambavyo vibafanya watu wakufuatilie mara Kwa mara unavyo fuatiliwa mara Kwa mara influence Yako ndio inaongezeka na ndio endorsement zinakuja ,

Hayo mambo wasanii Huwa wana create wao wenyewe ili kumzidi kupata influence that's why unaona diamond ndiye muasisi wa kufanya fanya Ma- part , inachangia kubust Sanaa Yako na kumuongezea milage
 
Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani

Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika

Hakuna hiyo kitu, unapoandika mali kwa jina mama yako lazima iandikwe kwenye documents wewe ndio mrithi wa mali zote
 
Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania sana kwenye safari yangu ya Mziki ikiwemo aliuza Pete yake ya ndoa ili tu niwe na uwezo wa kurecord nyimbo.
Kwa level ya utajiri alofikia huyu (kama kweli ni tajiri) basi angetumia 'Trust' kuulinda utajiri wake, hii strategy ya mama mzazi ni risky sana pia hasa kwa wamama ambao bado wana-date kama mama ake alivo
 
Back
Top Bottom