Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

Kwa level ya utajiri alofikia huyu (kama kweli ni tajiri) basi angetumia 'Trust' kuulinda utajiri wake, hii strategy ya mama mzazi ni risky sana pia hasa kwa wamama ambao bado wana-date kama mama ake alivo
Wakina Hakim nahisi hata kwa Diamond Mali inaandikwa ya Mama mrithi wa Mali ndio wewe nafikiri hivi ndivyo huwa wanafanya
 
Anakaribia kufa gafla kama kanumbq
 
Ubaya wa kuandika jina mama kwenye mali zako siku ukifa watoto wako hizo mali labda ifanyike hisani

Kinyume na hapo kaka na dada zako watazitafuna watoto zako wakitaabika
haiathili chochote baada ya kifo kwani lazima panakifungu kinachozungumzia urithi baada ya kifo
 
Anaweza kutangulia kufa Diamond

Kila mtu atakufa, kitu muhimu tufanye kila kitu ili matunda ya jasho na nguvu zetu ziende kwa watoto wetu. Tuwe makini na hili swala kabla hatujaondoka Duniani kwasababu hatujui tarehe. Andaeni mirathi jamani, hata ukiwa na milioni 50 unaziona hazina maana leo ukiondoka zitawasaidia watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…