Inategemea kama familia ni ya kitapeli au wachagga ndiyo zao-dhuluma
Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania sana kwenye safari yangu ya Mziki ikiwemo aliuza Pete yake ya ndoa ili tu niwe na uwezo wa kurecord nyimbo.
Hapo ndipokwenye shida. Lakini angalau huyu alikuwa mke na watoto. Wengine unakuta anagombea mali za shangazi na akizinyakua hata hawapi watoto wa Shangazi yake wa kuwazaaAisee wachaga ni noma. Kuna rafiki yangu mmoja kwao wako wengi. Baba yao alifariki wakati yuko kwenye ndoa na mama wa kimachame mwenye watoto wawili wa mwisho. Waliburuzana mahakamani karibu miaka 10, kesi imeisha mwaka huu 2026, yule mama kashinda kakabidhiwa properties zote. Hawa wachaga sio watu wa kushindana nao kwenye mambo ya pesa. Hawashindwi hawa. Kuweni makini wajameni
Hapo ndipokwenye shida. Lakini angalau huyu alikuwa mke na watoto. Wengine unakuta anagombea mali za shangazi na akizinyakua hata hawapi watoto wa Shangazi yake wa kuwazaa
Mara nyingi ubinafsi ukizidi matokeo yake ni kufarakanisha vizazi na vizazi ambavyo ni nduguHakuna angalau, Tanzania sheria zinapindishwa waziwazi. Rushwa ni kitu kibaya sana. Yule mama soon na yeye atakufa kila kitu atakiacha lakini wale mabinti zake wamepoteza ndugu zao. Watakuwa na maisha ya upweke sana. Mimi nawajua wachaga, they don't care about anybody, only money
Unashangaa nini? Hata mimi niliuza Pete yangu ili mwanangu asome Ardhi University miaka minne bila mkopo? Na mwaka anagradueiti!?Tunapangwa, pete ya ndoa😆
Mimi mwenyewe wananishangaza kujadili kitu kama hichoUnashangaa nini? Hata mimi niliuza Pete yangu ili mwanangu asome Ardhi University miaka minne bila mkopo? Na mwaka anagradueiti!?
Si kashapata mwingineIt's a huge gamble, vipi mama akitangulia mbele za haki, ndugu wakaamua kukomaa kudai mgao?
Vipi mama akipata bwana atakayemzuzua akaanza kuhonga mali?
Si aachane na masuala ya wanawake kama anafanya yote hayo ili kukwepa 50/50.
Kwa level ya utajiri alofikia huyu (kama kweli ni tajiri) basi angetumia 'Trust' kuulinda utajiri wake, hii strategy ya mama mzazi ni risky sana pia hasa kwa wamama ambao bado wana-date kama mama ake alivo
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?Kipindi nafuatilia udaku alisema cheni na ndiyo ilikuwa ikitajwa zaidi Leo Pete kweli wasanii na usanii wao
Wabongo ni kama maji ya bahari hurushwa na mawimbi watakavyo hatuna msimamoHIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
wakali wa mihemko wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.Wabongo ni kama maji ya bahari hurushwa na mawimbi watakavyo hatuna msimamo
Hahahaha hamna kazi mzeewakali wa mihemko wameshindwa kushikilia bomba hadi mwisho.