Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

Bahati mbaya JF hakuna dustbin.hii takataka ni ya kuchoma moto
 

Hatuleti uchonganishi bali tunatekeleza theory za Einsten....Kufumbia macho mabaya ndiyo kuharibu jamii.

“The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything.”​

 
Na kuchafua watu. Tunaaminishwa ni Tajiri hata nje ya mpira. Kwa nini anang'ang'ania mpira?.
 

Fan base ya SSC ipo kabla ya manara
Do or die ndio kuongeza fan base ?
 
Mwambie diamond masuala ya mpira hayaamuliwi na serikali
 
Tunamuheshimu sana Mond, kwa, mchango wake katika utamaduni, uchumi, ajira, Ila, bado ni mjinga kwa, mambo mengine, nchi, taasisi haziendeshwi kwa kuangalia hisia na sura za, watu, Bali sheria na taratibu, ukizivunja, lazima, zikulambe,
Sasa huyu manara, akipewa nafasi na kusamehewa, huko mbele, mwingine akikosea, tutatumia hatua gani kumpa adhabu? Au itabidi tusubili"Mond"mwingine, amuombee msamaha!?
Pls Mond, stay the https://jamii.app/JFUserGuide out of football issues,
Stick to ur lane, bongo music.
 
We mkuu unashida pahala sio?
Fan base ya Simba imetengenezwa na Manara?
Mbona mnapenda kujiaibisha wazeee, usiidrag Simba kwenye mambo ya kijinga haya.

We unaamini kauli za Do or Die zilisaidia au zinasaidia chochote?
Manara si alikuwepo wakati Simba inakaa almost decade bila kombe?
Alisaidia nini?
 
Reactions: Tui
Anadhani ye Ni nani?
Eti Manara ndio kanifanya nijue mpira, kama ni hivyo basi bado hujui Mpira.
Aliwahi toa maneno ya kishenzi kama haya kipindi Manara katimuliwa Simba wakidhani mashabiki watareact. Alivyo mjinga anashindwa kuelewa kuwa Hana influence yoyote kwenye mpira, abaki huko huko kwenye Mziki, huko ndio atayapata mang'ombe yatakayofuata kila anachoongea.
 
Hawa wameendana tabia, ndo maana wanateteana
 
Kafungiwa na TFF au na serikali Hadi aombe serikali ifanye hivyo
 
Amechangia kwa namna gani? Kuna uwekezaji wowote kafanya? Alishawahi kuwa mchezaji? Alishawahi kuwa kocha? Au Kupiga domo na kutukana wadau wa timu pinzani nao ni mchango?
kuna mambo yapo nje ya upeo wa ubongo wako , penda kuperuzi kabla ya kutoa maoni
 
Huyo ashura cheupe a.k.a jibwa hana mchango wowote kwenye mpira wa Tanzania amefungiwa muda wote huu kuna kipi kimepungua kwenye mpira 🤔🤔zaidi ya maneno yake ya dharau na kejeli🤔🤔 aendelee kupigwa pini hivyo hivyo
 
Reactions: Tui
Eti mchango [emoji1]

Hebu wekezeni,mkuze vipaji

Acheni mpira wa tintalilaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…