Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

Si ampe kazi ya uchawa wasafi
 
Reactions: Tui
UKIACHA MWALIMU NYERERE.

SIJUI KAMA KUNA MTANZANIA NINAYEWEZA KUTEGA SIKIO NA KUMSIKILIZA.

TANZANIA YANGU
 
Ni kweli kabisa na akirudi umaarufu wake utakuwa Mara dufu.
 
Yanga ipi?Kacheza na kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…