Msanii anayeongoza kwa kushauriwa na kupondwa ,ila sijawahi ona msanii mwengine akikosolewa wala kushauriwa kama mnavyomshauri Diamond (Ina maana mnamshauri Diamond sababu mnapenda kwa hiyo hao wasanii wengine msio washauri ina maana hamuwapendi) ,lkn bado anafanya vizuri ila kumbuka mziki una TIME FRAME,utake usitake lazima utakaa pembeni tuu HATA upewe promo kila sekunde,wewe Lil wyne tokea 2000s mpaka hivi sasa unategemea asichuje,wanamziki hawana tofauti na wachezaji wa mpira ukikaza sana mwisho 13,hivi ushaziangalia Video za BEYONCE zitazame alafu ungalie na mipicha anayopiga kwenye majarida mbalimbali alafu angalia beyonce ana tuzo ngapi nominataion ngapi kwa mwaka,alafu angalia list ya wasanii wanaoingiza ela kwa tour beyonce anakimbiza ,tuache na huyu hivi unamjua vizuri MADONA kamwangalie yule mmama mpaka sasa ni tayari anautajiri wa zaidi ya USB 1 na tuzo kibao pamoja na drama ,video na mipicha mingi zenye nudity lakini aliitikisa dunia wakati wake umeisha sasa hivi yupo pembeni .Dogo huu ni wakati wake wa kushine,hata kama mtamchukia na hamtomshangilia basi mawe yatapiga kelele na utafika wakati wake atakaa pembembeni hamna mwenye makataba na huu mziki ,sasa ww ukisema video ya nudity inamshumsha mtu hebu wafuatilie BEYONCE na MADONA au mfuatilie EMINEM video zake za zamani lkn mpaka sasa bado anakimbiza upande wa Hip Hop.Alafu DRAKE na Lil Wyne hawafanani hata KIDOGO labda ulimsikia vibaya.Kama mtuatilia mzuri 80+% ya hip hop ni matusi matupu,unaweza ukasikiliza ngoma mia lkn ngoma amabazo hazima matusi hazizidi 3 ,msanii wa hip hop ambaye aimbi sana matusi ni NAS ,lkn hao wengine mitusi kama kawa na tunaisikiliza bila kumute matusi.