Diamond mdogo wangu, naomba nikushauri kidogo

Diamond mdogo wangu, naomba nikushauri kidogo

Kama Kuandika kiswahili kunakushinda, "Hamtaki" unaandika "amtaki" utaweza kweli kudadavua mambo makubwa na athari zake katika nchi.



Rudi shule ndio uje kuongelea mambo makubwa zaidi ya uwezo wako wa akili yako.
Ila nazani umeelewa.kujifanya unajua napo sio shida...bora yako ulio soma "HGK" [emoji23] [emoji23] mie kiswahili kimenipita kushoto

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Watu BASATA WAMEWAZUZUA MPAKA KUONA Kila kitu kibaya


BASATA HAWANAJIPYA ZAID YA FUNGIAFUNGIA
 
YouTube wakifungia hiyo video ndio itakua pigo kwa Diamond kwasababu uko ndipo anapopatia pesa.
Kupiga nyimbo redioni au tv sidhani kama kunamuingizia pesa.
YouTube ni vigumu. Wataweka content under 18+
 
Watu BASATA WAMEWAZUZUA MPAKA KUONA Kila kitu kibaya


BASATA HAWANAJIPYA ZAID YA FUNGIAFUNGIA
 
Achen wivu iyo ngoma sija ona tatzo lolote tatzo mlivyo na chuki una kuna mtanzania mwenyewe ndo yuko bussy kui report ngoma ifungiwe nd ujue wa bongo mlivyo ma boyaaa.......nyimbo ngapi za nje zina pigwa Tz na video ni vile vile kama amtaki kuangalia fumbeni machoooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] POVU LANGU LA LEO
You well said,yani BASATA IMEHARIBU AKILI ZA WATU SANAA,SASA KAMA HII NI MBAYA JEE HIZO ZA WAMAREKANI NA WALATIN WATASEMAJE NA ZINAPIGWAAA,UJINGA NI HAO WANAOREPORT KWA CHUKI ZAO
 
Kama Kuandika kiswahili kunakushinda, "Hamtaki" unaandika "amtaki" utaweza kweli kudadavua mambo makubwa na athari zake katika nchi.



Rudi shule ndio uje kuongelea mambo makubwa zaidi ya uwezo wako wa akili yako.

Punguza ujinga weweee,huko marekani na LATIN wanapiga utupu kabisaa na hawajafungi.UJINGA WENU BASATA WAMEGUNGIA VITU KWA BILA KUWAPA SABABU,MNAJIONGEZA WENYEWE.basi mnazid kua mazezeta mkichanganya na chuki basi ndo wehu kabisa
 
WENYE TEAM ZAO WAKIJA WATAKWAMBIA UNA CHUKI NA MTU WAO "" UTADHANI WALIWAHI KUKUONA UKILA KWAO """
MTU ANASHAURIWA MAMBO YA MAANA KWA MSINGI WA MAISHA YAKE MWENYE LAKINI WATU WANAPINGA ....SHIDA IKO HIVI UKIISHI KWENYE JAMII YA VIPOFU JIANDAE KUSIFIWA KWA KILA JAMBO """
 
Punguza ujinga weweee,huko marekani na LATIN wanapiga utupu kabisaa na hawajafungi.UJINGA WENU BASATA WAMEGUNGIA VITU KWA BILA KUWAPA SABABU,MNAJIONGEZA WENYEWE.basi mnazid kua mazezeta mkichanganya na chuki basi ndo wehu kabisa
Ndugu yangu acha kuonesha ujinga wako. USA hufanya Rating na labelingi za content za wasanii sio mpaka wafungie. Kwa mfano movies zinakuwa Rated na Motion Picture Association of Americaa wanatumia G, PG , PG 13, R, na NC 17.

Na kwenye miziki pia wanalabel ya PL.

So sio mpaka wafungiw mziki. Wao wanahakikisha wanacategorize content il observer achukue precoution kabla ya kuangalia au kusikiliza.
 
Mbona ngoma za akina Rihana wako uchi kabisa lakini mnaangalia?? Wabongo wanafiki sana
 
Naomba Nikushauri kwa kutumia mfano wa wasanii Wakubwa maana ndyo Role model wako.

Mwaka 2008 had 2012, Lil Wayne alikuwa miongini mwa wasanii wanaotamba katika mziki wa dunia. Mwaka 2008 alipata Grammy, mtv , BET za kutosha kutokana na albam yake the carter 3 ambayo iliuza zaidi ya kopi milliin ndani ya wiki ya kwanza.

Baada ya apo aliendelea kutoa hit songs ambazo zilitamba billboards, Had 2012.

Lil Wayne aliendelea kutoa albums na mixtapes ambazo zilipata negative responses kutoka kwa mashabiki wake. Hii ni kwa sababu ya Explicit contents zilizokuwa kwenye Audio na Video ya miziki yake. Tv na Radio mbali mbali zilishindwa kucheza miziki yake sababu ya izo Explicit contents.

Amekuwa akitoa album na miziki mingi lakini imekuwa taged under explicit contents.
Explicty contents sio images tu za matus. Hata maneno pia.


Drake naye ni msanii aliyeanza kuhit kuanzia miaka ya 2012. Mwanzoni sikuvutiwa na style ya drake ya kurap sababu ilikuwa amecopy ya Lil wayne. Mpaka hivi leo ukimsikiliza Drake akiimba unaweza sema ni Lil Wayne. Ila cha kushangaza huyu drake leo anahit kumzidi Lil wayne alyemkocopy style ya kuimba.
Hii ni kwa sababu nyimbo na video za drake haziwi taged under PAL ( Parental Advisory Label) sababu hakuna explicit contents kwahyo nyimbo na album za drake huweza pigwa katika radio na television zote duniani kuliko za lil wayne.

Sasa narudi kwa diamond mdogo wangu.
Kwa haka katabia unakotaka kuanzisha. Katakutoa kwenye game vibya sanaa. Utakuwa unatoa hit songs kila siku lakini Anashangaa awards wanapewa wengine.

Angalia usijekuwa kama Lil Wayne. 2012 anatoa nyimbo na album nyingi lakini azihit ingawa ni hit songs.
Anadandia nyuma kwa mbele angalia asipotee anadhan kutoboa Kimataifa ndio kumaliza kila kitu P square wapo wapi Wasanii maarufu waliotamba kama kina Iyanya, J Martin yangu macho sio kwa ubaya cha msingi aangalie kipi bora na chenye mhimili kwa game yake
 
Msanii anayeongoza kwa kushauriwa na kupondwa ,ila sijawahi ona msanii mwengine akikosolewa wala kushauriwa kama mnavyomshauri Diamond (Ina maana mnamshauri Diamond sababu mnapenda kwa hiyo hao wasanii wengine msio washauri ina maana hamuwapendi) ,lkn bado anafanya vizuri ila kumbuka mziki una TIME FRAME,utake usitake lazima utakaa pembeni tuu HATA upewe promo kila sekunde,wewe Lil wyne tokea 2000s mpaka hivi sasa unategemea asichuje,wanamziki hawana tofauti na wachezaji wa mpira ukikaza sana mwisho 13,hivi ushaziangalia Video za BEYONCE zitazame alafu ungalie na mipicha anayopiga kwenye majarida mbalimbali alafu angalia beyonce ana tuzo ngapi nominataion ngapi kwa mwaka,alafu angalia list ya wasanii wanaoingiza ela kwa tour beyonce anakimbiza ,tuache na huyu hivi unamjua vizuri MADONA kamwangalie yule mmama mpaka sasa ni tayari anautajiri wa zaidi ya USB 1 na tuzo kibao pamoja na drama ,video na mipicha mingi zenye nudity lakini aliitikisa dunia wakati wake umeisha sasa hivi yupo pembeni .Dogo huu ni wakati wake wa kushine,hata kama mtamchukia na hamtomshangilia basi mawe yatapiga kelele na utafika wakati wake atakaa pembembeni hamna mwenye makataba na huu mziki ,sasa ww ukisema video ya nudity inamshumsha mtu hebu wafuatilie BEYONCE na MADONA au mfuatilie EMINEM video zake za zamani lkn mpaka sasa bado anakimbiza upande wa Hip Hop.Alafu DRAKE na Lil Wyne hawafanani hata KIDOGO labda ulimsikia vibaya.Kama mtuatilia mzuri 80+% ya hip hop ni matusi matupu,unaweza ukasikiliza ngoma mia lkn ngoma amabazo hazima matusi hazizidi 3 ,msanii wa hip hop ambaye aimbi sana matusi ni NAS ,lkn hao wengine mitusi kama kawa na tunaisikiliza bila kumute matusi.
 
Kama Kuandika kiswahili kunakushinda, "Hamtaki" unaandika "amtaki" utaweza kweli kudadavua mambo makubwa na athari zake katika nchi.



Rudi shule ndio uje kuongelea mambo makubwa zaidi ya uwezo wako wa akili yako.
Unafaa kuwa mwalimu
 
Chungu lakini dawa, wenye team zao wata waka lakini message delivery,,.
 
Maisha huwa tofauti mbona hujazungumzia Kendrick Lamar-Humble maneno ina imechukua tuzo ngapi Grammy.
 
Back
Top Bottom