Diamond mrudie Hawa

acha zake wewe mademu wangapi umewahi kuwa nao na hukuwaoa
 
Huyu hawa kuna kipindi alikuwa analalamika eti Diamond alichangia kushuka kwake eti kisa alinyimwa kolabo na diamond kwa mara ya pili..

Mwenzie diamond baada ya kuona nitarejea imehit hakubweteka akaendelea kutoa ngoma nyingine zaidi ili aendelee ku hit...Sasa huyo dada badala ya kuona amewin kwenye game nae ilibidi aendelee kutoa nyimbo kali kile kipindi kwa kutumia u super star aliopataga kwenye ile hit song ya nitarejea ila yeye alikuwa karidhika, Kipindi kimeenda nyimbo haimo hata top 20 ndo akashtuka kuwa inabidi atoe nyimbo nyingine na kwa bahati mbaya kila nyimbo akiitoa haifanyi vizuri kabisa ndo akaanza kumlazimisha diamond wafanye kolabo tena wakati hapo diamond yupo bize na ptojects zake..

Hili liwe fundisho kwa wale wasabii wanaoridhika kwa nyimbo ikihit kwamba wasirishike
 
Niliangalia ile interview ya Shilawadu na Hawa. Kuna sehemu Mama Mdogo wa Hawa alisema kuwa, Diamond aliamini kuwa mtoto wa Hawa ni wake na kuanza matunzo.

Mama yake Diamond alikuwa akienda kwa kina Hawa kupeleka nguo za mtoto.

Hawa aliitamkia familia ya Diamond kuwa mtoto siyo wao na kumtaja baba yake. Hapo Diamond aliishiwa nguvu na kuachana naye moja kwa moja.

Katika hali ya kawaida ipo wazi kuwa Hawa hakuwa mwaminifu katika penzi lao ndio maana akabeba ujauzito wa mtu mwingine angali akiwa na Diamond.

Gentermycine njoo huku ufafanue juu ya andiko lako la kusamehe 7 X 70.
 
Mmmh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mrudie domo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
hawa amevuta madawa ya kulevya,,amekunywa gongo jieke kwenye nafasi ya daimond unaeza kutoka na msichana mwenye hio historia???
all in all namuombea kwa mungu apone arudi mtaan awe funzo kwa wasichana wenzake na hata wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emu toeni ushahidi yakinifu juu ya hilo penzi....picha za mahaba....hata zile za kukwichi ili angalau wengne tuamini labda.....tutaamini vipi kwa maneno mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…